Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,560
Hakuna Radio yenye matangazo mengi kuliko zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwezi pata majibu yake hapa mkuu... kwa hawa watu...Genius wa unyonyaji.?
hata RFA ilikuwa ina matangazo mengi zaidi ya Radio yoyote TZ....Hakuna Radio yenye matangazo mengi kuliko zote
ebu acha kabisa hayo mawazo redio inamatangazo ya biashara tu yaani mziki mmoja yakifata matangazo mpk kinyaa50% ya watanzania wote wanasikiliza clouds
50%iliyobaki wanagawana Akina majizo na vijiredio vyote
Mimi sijaona malalamiko naona mitazamo ya watu.Sasa watu wanalalamika nini sasa kama clouds wenyewe wamejifia??
We unafkr wasafi tv + redio ni ya nan!????Siyo kweli
Utafiti kutoka wapi mkuu?50% ya watanzania wote wanasikiliza clouds
50%iliyobaki wanagawana Akina majizo na vijiredio vyote
Huyo sio genius ni copy cat anakopi huko kwingine anapeleka tz nyie mwamuita genius??Ruge is f** genius,, whthr u lke or othrwise!!
Mfano hapa leo hiyo link wameongeza viewer kupitia JF.Wasafi wajanja sana
Wana timu kubwa sana ya kutafuta viewers. Yaani nyimbo ikitoka, ndo mnaanza kutukana wakubwa na kujifafanya mmekua.
Kama mmekua, endesheni muziki kimya kimya sio kupitia migongo ya watu
Yani mashabiki kwa kudandia treni hatujambo na kwa kuwa wasemaji wa taasisi hatujambo pia....ambao.hatuna upande tuna angalia ni wapi hii game itaishia
Kip ulichokop ukaleta tz kinachoonekana kma ruge!!Huyo sio genius ni copy cat anakopi huko kwingine anapeleka tz nyie mwamuita genius??