Nasikia kama huna GPA ya 3 sahau kuwa Mwalimu wa sekondari

Nasikia kama huna GPA ya 3 sahau kuwa Mwalimu wa sekondari

October 2pm

Senior Member
Joined
May 2, 2023
Posts
106
Reaction score
282
Hii sio Sawa. Bora iludishwe tamisemi tuu. Nimesikia utaratibu wanaotaka kuutumia Sasa hivi ni kama ule wa kufundisha chuo àmbapo Kwa chuo kama huna GPA kuanzia 3.8 huwezi kuwa Mwalimu wa chuo.
Hiyo ni kuludishana nyuma. Wangesema mapema tangu tuko chuo. Huu uonevu. Bola watufikilie na sisi wenye 2.8
 
Walimu wa ngazi zote kiukweli na ulazima wanatikiwa waweza vichwa. Wapasue mpaka hata 4 GPA.
Vilaza mtawafundisha nini watoto zaidi ya ulaza?!
GPA zina mambo mengi jamani...

Tumefundishwa na lecture ambaye ukichangia nae demu, hata uwe na uwezo kiasi gani hutoboi...

Wakizingatia GPA wataonea watu, vyuoni kuna mengi.
 
Walimu walio wengi ni empty set na ndo maana wanakataa interview... Km chuo ulishindwa kufurukuta ukatoboa na gpa kubwa utawezaje kuwaelimisha madaktari wa baadae wakaelimika vya kutosha?
 
Back
Top Bottom