Chief Ortambo Ikumenye
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 247
- 503
We si ndo ulikuwa unagoma kwenda kwenye interview Kagera kisa umbali? Kumbe una GPA ya chini chini halafu bado unakuwa mtata....Hii sio Sawa. Bora iludishwe tamisemi tuu. Nimesikia utaratibu wanaotaka kuutumia Sasa hivi ni kama ule wa kufundisha chuo àmbapo Kwa chuo kama huna GPA kuanzia 3.8 huwezi kuwa Mwalimu wa chuo.
Hiyo ni kuludishana nyuma. Wangesema mapema tangu tuko chuo. Huu uonevu. Bola watufikilie na sisi wenye 2.8