Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Umenikumbusha enzi izo TULIKUAGA TUNAWASIKIA WAKITANIANA ""MWALIMU NI CONTENT SIO GPA"""Haya mambo sijui ni DIVISION au GPA huwa hayana uhalisia wa kile mhitimu alichojifunza na kujifunza shuleni na chuoni, ni matokeo tu ya mtihani mmoja tu wa mwisho utakachopata alama/maksi ndio huchukuliwa kuwa ni kipimo cha uwezo wako wa kumudu stadi na maarifa hayo kumbe ni upuuzi tu. Ukifanya mitihani miwili, mitatu au minne utapata matokeo tofauti. kuna mtihani utapata maksi nyingi na kuna mtihani utapata kidogo. Huwa haijulikani matokeo utapata maksi kiasi gani kwa mtihani mmoja ambao ndio hutoa hatma ya muelekeo wako kitaaluma na ajira kulingana na kiwango cha ufaulu kilichowekwa
TUNACHEKAAAA☺️☺️😊😊🤣🤣😂😂