Chief Ortambo Ikumenye
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 247
- 503
We si ndo ulikuwa unagoma kwenda kwenye interview Kagera kisa umbali? Kumbe una GPA ya chini chini halafu bado unakuwa mtata....Hii sio Sawa. Bora iludishwe tamisemi tuu. Nimesikia utaratibu wanaotaka kuutumia Sasa hivi ni kama ule wa kufundisha chuo àmbapo Kwa chuo kama huna GPA kuanzia 3.8 huwezi kuwa Mwalimu wa chuo.
Hiyo ni kuludishana nyuma. Wangesema mapema tangu tuko chuo. Huu uonevu. Bola watufikilie na sisi wenye 2.8
Still bado ndo mfumo unaoweza kuku guarantee kupata mwalimu mzuri. Issue ya mtu kupata GPA ya 2.1 kwa asilimia nyingi sana unakuta ni mwalimu mwenye low IQ.GPA zina mambo mengi jamani...
Tumefundishwa na lecture ambaye ukichangia nae demu, hata uwe na uwezo kiasi gani hutoboi...
Wakizingatia GPA wataonea watu, vyuoni kuna mengi.
Unazifahamu GPA za chup!?Still bado ndo mfumo unaoweza kuku guarantee kupata mwalimu mzuri. Issue ya mtu kupata GPA ya 2.1 kwa asilimia nyingi sana unakuta ni mwalimu mwenye low IQ.
Japo simaanishi kwamba wenye GPA za first class watakuwa walimu wazuri, ila wengi wao ni walimu wazuri
Naongea kwa probability terms... nazifahamu ndio lakini pia utokeaji wake ni mara chache sana..... yaaani mtu una 30 courses from 1st to 3rd year zenye walimu tofauti tofauti, halafu awavulie chup walimu 30 na zaidi ili apate 1st Class...? Ni very rare case, sema watu hupenda ku generalize.Unazifahamu GPA za chup!?
GPA ya kweli iko diploma na grade A, chuo kikuu mauzauza mengi.
Kwanini diploma?Unazifahamu GPA za chup!?
GPA ya kweli iko diploma na grade A, chuo kikuu mauzauza mengi.
SureNaongea kwa probability terms... nazifahamu ndio lakini pia utokeaji wake ni mara chache sana..... yaaani mtu una 30 courses from 1st to 3rd year zenye walimu tofauti tofauti, halafu awavulie chup walimu 30 na zaidi ili apate 1st Class...? Ni very rare case, sema watu hupenda ku generalize.
By more than 97% ukiona mtu ana GPA ya first class huyo ni mtabe original..
Kwenye hayo mengi inabidi utoboe, waliotoboa hawakuyaona hayo mengi ??GPA zina mambo mengi jamani...
Tumefundishwa na lecture ambaye ukichangia nae demu, hata uwe na uwezo kiasi gani hutoboi...
Wakizingatia GPA wataonea watu, vyuoni kuna mengi.
Vijana wengi vyuoni hawasomi, ule uhuru wanautumia vibaya.Naongea kwa probability terms... nazifahamu ndio lakini pia utokeaji wake ni mara chache sana..... yaaani mtu una 30 courses from 1st to 3rd year zenye walimu tofauti tofauti, halafu awavulie chup walimu 30 na zaidi ili apate 1st Class...? Ni very rare case, sema watu hupenda ku generalize.
By more than 97% ukiona mtu ana GPA ya first class huyo ni mtabe original..
Waje tulime numbu Uyole hukuSio lazima wote muwe waajiriwa wengine njooni tulime.
Wanafunzi vyuoni wazembe wengi vilaza na GPA za kizembe afu ndo wanataka wawe walimu, haifai kabisaVijana wengi vyuoni hawasomi, ule uhuru wanautumia vibaya.
Ni wachache ambao factors kama hizo kutongozwa na wakufunzi, ada na/ magonjwa ndio vinawafelisha.
Wengi wao hawasomi mzee
Wanafanya mtihani wa taifa.Kwanini diploma?
Hiyo GPA ndogo sana, jitahidi ukafanye kazi halmashauri au mahala pengine ila si kutufundishia watoto.Hii sio Sawa. Bora iludishwe tamisemi tuu. Nimesikia utaratibu wanaotaka kuutumia Sasa hivi ni kama ule wa kufundisha chuo àmbapo Kwa chuo kama huna GPA kuanzia 3.8 huwezi kuwa Mwalimu wa chuo.
Hiyo ni kuludishana nyuma. Wangesema mapema tangu tuko chuo. Huu uonevu. Bola watufikilie na sisi wenye 2.8
Kwakweli tuna changamoto moto kubwa sanaMtoa mada kama ni MWALIMU basi tuna safari ndefu..
Tena kama vipi waweke GPA ya 4.5 Kabisa.
Wewe unatakiwa uende shuleni kama mwanafunzi, siyo mwalimu!iludishwe
Hiyo GPA ndogo sana, jitahidi ukafanye kazi halmashauri au mahala pengine ila si kutufundishia watoto.
Ya wilaya au kwenye taasisi za serikali ila si kwenye sekta ya elimu. Mwalimu lazima awe na ubongo mzuriHalmashauri ya kijiji au ya wilaya ?
Kwani hujui walimu ni watu wa aina gani kiufaulu kuanzia secondary jamani ama unajifanya hamnazoWalimu walio wengi ni empty set na ndo maana wanakataa interview... Km chuo ulishindwa kufurukuta ukatoboa na gpa kubwa utawezaje kuwaelimisha madaktari wa baadae wakaelimika vya kutosha?