Nasikia kama huna GPA ya 3 sahau kuwa Mwalimu wa sekondari

Wapo sawa kabisa. Pamoja na elimu yetu kuwa na kasoro, lakini mwl mwenye GPA ya chini ukichunguza hata uelewa wake wa masomo anayofundisha unakuwa chini!
 
Wapo sawa kabisa. Pamoja na elimu yetu kuwa na kasoro, lakini mwl mwenye GPA ya chini ukichunguza hata uelewa wake wa masomo anayofundisha unakuwa chini!

wa namna hiyo ndio ccm wanawataka ili iwe rahisi kuwatumia ktk uchaguzi na ktk kufundisha watafundisha ili mradi tu watoto wamalize shule na sio kuangalia ufaulu na ufanisi wa kufundisha

ujinga wa jamii ndio mtaji wa ccm kuwepo madarakani

mdogo wangu mtoa mada usiwe na wasiwasi na GPA yako ya 2.8 ajira kwako imeshabihana na vigezo vya watawala. Nan atapinga?

hata kule ktk polisi wanataka wenye division 4 au 0 ili iwe rahisi kuwatuma kwa maslahi ya chama, pia mwenye division hizo ni ngumu kujiendeleza kielimu
 
Nasikia kama unafungua fungua nyuzi za kiwaki hapa Jamii forum, sahau kuwa expert member wa JF
 
Walimu wa ngazi zote kiukweli na ulazima wanatikiwa waweza vichwa. Wapasue mpaka hata 4 GPA.
Vilaza mtawafundisha nini watoto zaidi ya ulaza?!
Naunga mkono. Tuangalie pia mstakabali wa watoto wetu wa kitanzania. Wanahitaji waelekezi Bora. Hizi cases za watu kubaka wanafunzi, kupiga mpk kuua kugombania" mademu" na wanafunzi huenda inachangiwa na low GPAs. Na wakati huu imeshamiri. Wazaz tunapata wasiwas watoto wakiwa mikononi mwa hao watu. Kama maafa hata hayaja kugusa unaweza usielewe vzr.
 
Iludishwe ❌️
Irudishwe ✅️

Kuludishana ❌️
Kurudishana ✅️

Bola ❌️
Bora ✅️

Watufikilie ❌️
Watufikirie ✅️

Duh, kwa hicho Kiswahili chako, wanafunzi wako watapata tabu sana.

Samahani, una degree ya nini kutoka chuo gani?
 
Mimi najua kama una GPA below 3.3 ushakosa nafasi.
 
Simu Ikaita!!!
Kwenye simu: ...weee Sidee!!
Side: eeeeh nani mwenzangu??
Kwenye simu: mimi baba yako!!
Side; aah kumbe wa ni baba???
Baba: eeh
Side:..aaah ahh, sasaaa we baba mwenye nyumba au Baba muumba mbingu???
 
Sasa mwalimu ukiwa na GPA ya 2.8 utazalisha mwanafunzi wa GPA ya ngapi?
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…