Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
utakuwepo ukhuty[emoji23] [emoji23]
Ramli ndio inasema hivyo mkuu?So sorry kwa mdogo wangu Lulu na anaweza hata kuwa mwanangu.. Hii ndoa inaweza kuingia mushkeli siku ama dakika za mwisho labda tu kama siku za uharibifu ziwe zimekwisha
Mkuu,, how sure are you kuwa kanumba alimlawiti lulu ? .Lulu ni mwanamke mzuri anayestahili mwanamme ili atulizane. Kale katoto kalipitia kipindi kigumu sana maishani mwake, kulawitiwa na Kanumba toka yuko na miaka 9 na pilikapilika za hajabu zisizo na maana. Anahitaji kupumzika na mtu ampendaye ili aenjoy maisha.
Mkuu una maana ganiTigo Isikie Tu Lakin Usithubutu Kuitumia
Kama 20 hivi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Uhalisia ..!Ramli ndio inasema hivyo mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuolewa ni bahati ingekuwa chura ndiyo kigezo hata inzi ana chura
Jamani!Majizo huenda akapotea njia
Ametumia 'mungu' na si 'Mungu'hilo jina la Mungu kwanini mnalitumia hovyo hovyo