Nasikia Majizo anamuoa Lulu...

Nasikia Majizo anamuoa Lulu...

So sorry kwa mdogo wangu Lulu na anaweza hata kuwa mwanangu.. Hii ndoa inaweza kuingia mushkeli siku ama dakika za mwisho labda tu kama siku za uharibifu ziwe zimekwisha
Ramli ndio inasema hivyo mkuu?
 
Lulu ni mwanamke mzuri anayestahili mwanamme ili atulizane. Kale katoto kalipitia kipindi kigumu sana maishani mwake, kulawitiwa na Kanumba toka yuko na miaka 9 na pilikapilika za hajabu zisizo na maana. Anahitaji kupumzika na mtu ampendaye ili aenjoy maisha.
Mkuu,, how sure are you kuwa kanumba alimlawiti lulu ? .

Kuna siku nilisoma habari moja ya ushahidi aliousema lulu mahakamani alidai kuwa wakati kanumba anakufa walikua kwenye uhusiano si zaid ya miaka 2 sasa hiu umri wa miaka 9 sikuelewi
 
Mambo ni moto,hakuna siri tena ,Makonda mwenyekiti wa kamati mda wowote tunatangaziwa tarehe ya ndoa.
 
"Mungu" na "mungu" ni majina mawili tofauti, Na yenye maana mbili tofauti.

1.Mungu anayeanza na herufi kubwa ndiye Muumba mbingu na ardhi na vyote viijazavyo dunia.(MWANZO 1:1).


2.mungu huyu wa herufi ndogo ni kijimungu,ibilisi,muungu ktk miungu 360 ya Babeli ya kale na ya kiroho na Misri pia ni shetani. => 2KOR 4:4
 
Back
Top Bottom