Hapo bado malaika mliowaomba hawajashuka kuja kuwapasha habari!Wakishuka itakuwaje!?Yani timu yetu bado haijakaa sawa hakukuwa na ubunifu eneo la mbele timu hata ingecheza dakika 200 bado tusingefunga.
Yanga tunapotezaje nyumbani mbona mnatupa maradhi jamani yani tunashindwa kupata goli hata moja wachezaji imefikia wanacheza mpira uishe
Kama chuchunge.KAMDOMOOOO
Saa hizi linaungua tu.Ooh gari imeshaawaakaa
Gari linazima, lkn wao wanasema linawakaOoh gari imeshaawaakaa
Kusajili wazee na kumfukuza kocha ndiyo vimeigharimu timuMabadiliko ya Benchi la ufundi katika ya msimu yana faida na hasara zake. Moja wapo ya hasara ndio hizi sasa.