Nasikia maumivu makali sana Yanga tumeshuka kiwango

Nasikia maumivu makali sana Yanga tumeshuka kiwango

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Yani timu yetu bado haijakaa sawa hakukuwa na ubunifu eneo la mbele timu hata ingecheza dakika 200 bado tusingefunga.

Yanga tunapotezaje nyumbani mbona mnatupa maradhi jamani yani tunashindwa kupata goli hata moja wachezaji imefikia wanacheza mpira uishe
 
Wapinzani walikuwa vizuri kupita Yanga. Mbinu yao ya kuzuia ilikuwa bora sana.

Ifike mahali tujifunze kuheshimu mpira.

Kuna Utipolo mwenzangu nlikaa nae hapa analaumu kila mtu kuanzia refa vibendera, Hersi, wachezaji hadi ball boys.

Mabadiliko ya Benchi la ufundi katika ya msimu yana faida na hasara zake. Moja wapo ya hasara ndio hizi sasa.

Mechi ya leo ilikua ya kimbinu.
 
Yani timu yetu bado haijakaa sawa hakukuwa na ubunifu eneo la mbele timu hata ingecheza dakika 200 bado tusingefunga.

Yanga tunapotezaje nyumbani mbona mnatupa maradhi jamani yani tunashindwa kupata goli hata moja wachezaji imefikia wanacheza mpira uishe
Hapo bado malaika mliowaomba hawajashuka kuja kuwapasha habari!Wakishuka itakuwaje!?
 
Back
Top Bottom