Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Wanaume wa dar bado kuota matiti tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siasa ni zaidi ya uijuavyoNaomba kujua ,hivi siasa inaingiaje hapa,hivi Kuna watu wanaweza kukaa ,wakawatuma vijana hao wadogo kiumri,
Wafanye vitendo vya kihalifu ikiwa wanajua muda wowote wanakufa?
Yaani wananchi tusikie panya road wapo sijui mbagala,, tuungane tuwasake si tutateketeza vijana wengi?
Ni muda wa Barreta kufanya kazi huu na siyo panga .nikikuhisi tu ......?!?!?!!!
Mkuu hawa panya usiseme hivo, ni zaidi ya tatizo! Kuna mdogoangu nae ni kijana wa hovyo, anaishi kwa mama sio mbali na nyumbani kwangu siku moja amekuja kwangu usiku akanigongea vzr tu akaingia tukawa tunaongea lakini akaniambia yuko na wenzake wachake wapo nyuma ya nyumba wamekaa kwamba nisiwe na wasi, akatoka kwenda kukaa nao'duh wakipata silaha ndo bas tena , serikali imelala sana ila wanajulikana vzr tu km ukiingia mtaani
Kitu ganiKitunda nasikia wako maeneo ya Relini kibao,nasikia maduka yote yamefungwa
Hiki kikundi kuna kitu nyuma yao
Kwahiyo mdogo wako ni panya road member 😩Mkuu hawa panya usiseme hivo, ni zaidi ya tatizo! Kuna mdogoangu nae ni kijana wa hovyo, anaishi kwa mama sio mbali na nyumbani kwangu siku moja amekuja kwangu usiku akanigongea vzr tu akaingia tukawa tunaongea lakini akaniambia yuko na wenzake wachake wapo nyuma ya nyumba wamekaa kwamba nisiwe na wasi, akatoka kwenda kukaa nao'
Nikawa nasikia sauti chache za chinichini, nikakadiria labda kuna watu hawazidi 6, nilivotoka nusu nizimie! Nilikuta kuna watu kama 30 na zaidi! Na huwezi amini hakuna hata moja ninaemjua zaidi ya huyo dogo tu!
Na kila muda anatoka mmoja akirudi anakuja na wengine tena! Mpaka wanaondoka pale mida ya saa sita usiku wameshakuwa wengi mnooo!
Dogo akawa ananitambulisha' nikagundua wantokea kiwalani, mbagala, wengine bunju nk.
Kesho yake nikasikia tukio la ajabu!
Wale madogo ukiwa unaongeanao ni wana heshima saana! Na wako wazi hawafichi kitu.
Ila wakati wanaondoka niliwaambia pale wasije tena. Wakasema "heshima kwako bro popote tukikuona tutakulinda"
Kuwazibiti panya inatakiwa weledi tofauti kbs na hizi operation za polisi.
Hitaji la panya road ni pesa si maneno matupu, ili uwadhibiti unatakiwa uwape hitaji lao, pesa, sasa utakuwa ukiwagawia pesa kila mara?Mkuu hawa panya usiseme hivo, ni zaidi ya tatizo! Kuna mdogoangu nae ni kijana wa hovyo, anaishi kwa mama sio mbali na nyumbani kwangu siku moja amekuja kwangu usiku akanigongea vzr tu akaingia tukawa tunaongea lakini akaniambia yuko na wenzake wachake wapo nyuma ya nyumba wamekaa kwamba nisiwe na wasi, akatoka kwenda kukaa nao'
Nikawa nasikia sauti chache za chinichini, nikakadiria labda kuna watu hawazidi 6, nilivotoka nusu nizimie! Nilikuta kuna watu kama 30 na zaidi! Na huwezi amini hakuna hata moja ninaemjua zaidi ya huyo dogo tu!
Na kila muda anatoka mmoja akirudi anakuja na wengine tena! Mpaka wanaondoka pale mida ya saa sita usiku wameshakuwa wengi mnooo!
Dogo akawa ananitambulisha' nikagundua wantokea kiwalani, mbagala, wengine bunju nk.
Kesho yake nikasikia tukio la ajabu!
Wale madogo ukiwa unaongeanao ni wana heshima saana! Na wako wazi hawafichi kitu.
Ila wakati wanaondoka niliwaambia pale wasije tena. Wakasema "heshima kwako bro popote tukikuona tutakulinda"
Kuwazibiti panya inatakiwa weledi tofauti kbs na hizi operation za polisi.
Sijasema dogo ni panya, hili tukio ni la muda mrefu kdg, siku hizi ni mtu safi tu na anajielewa sana! Nilikumbuka tu ndo nikaona nionyeshe ukubwa wa tatizo.Kwahiyo mdogo wako ni panya road member [emoji30]
Ni kweli hitaji ni pesa, na pia haiwezekani kuwagawia pesa. Lakini pia kijana mwenye fani inayoweza kumpatia japo mahitaji muhimu ni ngumu kujihusisha na uhalifuHitaji la panya road ni pesa si maneno matupu, ili uwadhibiti unatakiwa uwape hitaji lao, pesa, sasa utakuwa ukiwagawia pesa kila mara?
Kitunda kuna wakurya kibao, Ila juzi tu panya road wamekinukisha hukoWanaume wa dar mmekua wapumbavu sana
Yani hivyo vitoto vinawatia hofu!!!
Wanaume wa dar mmelegea sana, ata kama ni usasa huu umepitiliza
Disgrace to manhood
Waje huku Mara waone show zake
Kwa taarifa yako sasa,juzi aliuwawa mmoja wa hao panya road,jana mchana wakati anazikwa wakaja field force gari si chini ya4,vijana wakakimbia,wakakamatwa baadhi,na maiti police wakasaidia kuzika..Hizi habari hazina ukweli kila Mtu Kusikia,nani alie shuhudia?
Wapi hiyoKwa taarifa yako sasa,juzi aliuwawa mmoja wa hao panya road,jana mchana wakati anazikwa wakaja field force gari si chini ya4,vijana wakakimbia,wakakamatwa baadhi,na maiti police wakasaidia kuzika..
Jana hiyo hiyo Usiku hao vijana wakajiorganize tena wakawa wanapita mitaani kulipiza mwenzao kuuwawa ..
Ila kuna baadhi wametiwa mbaroni...
Over and out mkuu....
Kitunda si wamejaa Wakurya kule Mkuu?mbn huku TANDIKA hawafiki cc tunawasubiri kwa hamu
Wapi hiyo