Nasikia sasa wamesema bora tukose wote na tuanze upya!

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Wakuu kinachoendelea ni ule utaratibu wa bora tukose wote .

Jamaa wa ubungo maziwa eti pale kwake Bukoba kijijini analindwa Kama sio yeye .

Yule jamaa muhaya akili nyingi ana hasira za kupishana na tonge, karatasi pia alinyimwa .

Na yeye anaona kurudi kupiga madesa anaona haiwezekani

Je unabii utatimia au lah?
 
Sawa tu
 
FB_IMG_1749627742554.jpg
 
Wakuu kinachoendelea ni ule utaratibu wa bora tukose wote .

Jamaa wa ubungo maziwa eti pale kwake Bukoba kijijini analindwa Kama sio yeye .

Yule jamaa muhaya akili nyingi ana hasira za kupishana na tonge, karatasi pia alinyimwa .

Na yeye anaona kurudi kupiga madesa anaona haiwezekani

Je unabii utatimia au lah?
Samia analizamisha boti
 
Ubaya Ubwela Kabla Hawajatug'oa Tunazinguana Nao.
 
Sasa bashiru analindwa kivipi shida wewe doctor mnyau nyau una leta ramli chonganishi bashiru kaamua kutulia baada ya kuona odds za kisiasa haziko upande waka kwa sasa bora aendelee na mambo mengine sasa dr manyau nyau unaleta uongo wako hapa.... odds za kisiasa tu zimemfanya akae kimya

Back
Top Bottom