Nasikia sasa wamesema bora tukose wote na tuanze upya!

Kama vp mama kizimkazi atibue muungano,awaache watanganyika wakiparurana.
 
Dah, kw ahio ndo maana Bi Kizimkazi kaishupalia CDM itoke kwenye ramani za siasa Tanzania akijua utabiri wa Shehe Yahya uliilnga sio ....................
Kizimkazi hoi!!!
 
Kile kichwa kina akili nyingi, wakiache tu kirudi vyuoni kunoa bongo za vijana wetu. Ni ujinga kutupa mtoto na maji ya moto.
Shoka lisilokufaa leo usilitupe
 
Kwa hali ilikofikia we mtaje tu mambo yasiwe mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…