Nasikia Tusiime imebaki na wanafunzi mia mbili? Ni kweli?

Kutoka wanafunzi elfu tano hadi mia mbili? Ni kwamba wazazi wame zikubali kampeni za LIKUD na kurudisha watoto wao Kayumba ama?
Shule yenyewe inaitwa jina la kihaya.

Jina la kihaya Ila mtaala wa kiingeeeza. Wabongo bana.

Hakuna mtu yupo serious anaweza mpeleka mtoto kwenye shule yenyewe jina la kihaya unless otherwise yeye mwenyewe awe muhaya
 
Tusiime ameshindwa ushindani mwenyewe tu.....biashara imemshinda....sijui amekutana na nini....amepotea mazimaa
Shule zote za Wahaya uzurumati kwa wafanya kazi unawatokea puani, Tusiime,ST anne Maria, Atlas,veritaz, na n.k zimekuwa za hovyo sana

USSR
 
Shule yenyewe inaitwa jina la kihaya.

Jina la kihaya Ila mtaala wa kiingeeeza. Wabongo bana.

Hakuna mtu yupo serious anaweza mpeleka mtoto kwenye shule yenyewe jina la kihaya unless otherwise yeye mwenyewe awe muhaya
Hakuna mtaala wa kingereza mkuu
 
Kutoka wanafunzi elfu tano hadi mia mbili? Ni kwamba wazazi wame zikubali kampeni za LIKUD na kurudisha watoto wao Kayumba ama?
Mbona ina wanafunzi kibao mzee !! Coaster zaidi ya 20 zinatoka kila siku kukusanya watoto

Back
Top Bottom