Mzee Rufiji
JF-Expert Member
- Aug 24, 2024
- 751
- 1,315
Walinadili jina mkuu, pale Tabata nilipita mwaka janaShule yenyewe inaitwa jina la kihaya.
Jina la kihaya Ila mtaala wa kiingeeeza. Wabongo bana.
Hakuna mtu yupo serious anaweza mpeleka mtoto kwenye shule yenyewe jina la kihaya unless otherwise yeye mwenyewe awe muhaya