Mzee Rufiji
JF-Expert Member
- Aug 24, 2024
- 751
- 1,315
Walinadili jina mkuu, pale Tabata nilipita mwaka janaShule yenyewe inaitwa jina la kihaya.
Jina la kihaya Ila mtaala wa kiingeeeza. Wabongo bana.
Hakuna mtu yupo serious anaweza mpeleka mtoto kwenye shule yenyewe jina la kihaya unless otherwise yeye mwenyewe awe muhaya
Kumbe wahaya wako mbele kwenye Elimu.Shule zote za Wahaya uzurumati kwa wafanya kazi unawatokea puani, Tusiime,ST anne Maria, Atlas,veritaz, na n.k zimekuwa za hovyo sana
USSR
Waislamu wame ji organise serikalini kwenye sekta zote uchumi wa nchi upo mikononi mwao kwa sasa ..kama nilivyo sema siku za nyuma wakristo watatupwa nje ya mfumo wa uchumi wa kiserikali hivi karibuni hakutakuwa na tajiri yoyote aliye mkristo na waajiri wote watakuwa Waislamu...kwa sababu kuna mifumo ya kiislamu ya kifisadi serikalini mingi sana ...watu wanaingiza koo zao serikalini .Kutoka wanafunzi elfu tano hadi mia mbili? Ni kwamba wazazi wame zikubali kampeni za LIKUD na kurudisha watoto wao Kayumba ama?
Kama Kaizerege vileShule yenyewe inaitwa jina la kihaya.
Jina la kihaya Ila mtaala wa kiingeeeza. Wabongo bana.
Hakuna mtu yupo serious anaweza mpeleka mtoto kwenye shule yenyewe jina la kihaya unless otherwise yeye mwenyewe awe muhaya
Biashara is competitionShule yenyewe inaitwa jina la kihaya.
Jina la kihaya Ila mtaala wa kiingeeeza. Wabongo bana.
Hakuna mtu yupo serious anaweza mpeleka mtoto kwenye shule yenyewe jina la kihaya unless otherwise yeye mwenyewe awe muhaya
🤝Pale UDOM, UDSM, SUA, SAUT n.k aliyesoma kayumba na st utajijua wote mnaanza upya maisha, ya kale hayana
Ndige ndige kyoma.Shule yenyewe inaitwa jina la kihaya.
Jina la kihaya Ila mtaala wa kiingeeeza. Wabongo bana.
Hakuna mtu yupo serious anaweza mpeleka mtoto kwenye shule yenyewe jina la kihaya unless otherwise yeye mwenyewe awe muhaya
Hakuna kitu chepesi kama kuendesha shule tatizo ni akili ndogo za wadau ..kuna makosa mengi sana kwenye uendeshaji wa shule kuanzia za serikali hadi za binafsi .Kila siku zinazaliwa shule mpya, zenye facilities za juu, walimu wazuri, mishahara mizuri, ufaulu mkubwa...
Usipokaza biashara ni ngumu sana, ndio maana wanasema ukiona biashara imesurvive 10+yrs ujue juhudi ni kubwa sana.
Hii ndio sababu naona watu wanajizungusha tu humu.Ukute wizi wa paper umebanwa vizuri..hakuna tena performance.
I was jokingBiashara is competition
Kuhusu jina je hapa haujalenga logic Mkuu
Tusiime in Swahili means tushukuru
Wewe umeendesha ipi successfully?Hakuna kitu chepesi kama kuendesha shule tatizo ni akili ndogo za wadau ..kuna makosa mengi sana kwenye uendeshaji wa shule kuanzia za serikali hadi za binafsi .