Nasikia utopolo kimewauma kiasi walinunua ticket na kuzichoma ili uwanja uwe na magap

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Sijawahi kuona watu wanaumia kiwango hiki.
Hili timu wanafanya kila wawezalo kujilinganisha na Simba na kutaka wawe juu ya Simba ila kila wakijaribu wanakwama.

Wanaumia Simba kutoa sare na hawaoni aibu kwa kuanza kumshambulia Robertinyo eti kocha mbovu.
Wana hofu kwa kuwa hawajawahi kumfunga mechi yoyote.

Endeleeni kuumia huenda mtapambana nanyi mjulikane kama tulivyoona rais wenu akijipendekeza kwa rais wa FIFA
 
Ushawahi kucheza fainali ya caf?
 
Nyie shindeni kwanza mechi yenu ya Jumanne

Ukitoka Misri ndo tutaongea
 
haupo vizuri kisaikolojia mkuu...
 
Tatizo sio utoto unaokusumbua bali ukilaza.Ni sawa na kumuuliza baba yako kama amewahi kuwa na demu.Unadhani huyo mbibi mama yako hakuwahi kuwa demu?
Mimba yako ina muda gani? Maana si kwa kubetua midomo huko
 
Yaani mwanangu yanga watoe hela wanunue ticket za simba?
Them wachome moto?
Ili?
Kwa faida ipi?
Then?
Nani anaetoa hizo hela?

Nadhani sasa kuwe na malipo yakuanzisha uzi jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…