Maisha ni mafupi sana mkuu Yapaswa sote tuyafurahie
Inaonesha umemuumiza mke wako
Lakini kuachana kwa amani ni bora zaidi kuliko kuendelea kukaa na mtu aliyekuwekea kinyongo moyoni
Hujui siku wala saa hasira yake itakapolipuka kwako,na italipukaje
Muombe msamaha mke wako kwa ulichomkosea,ili uondoe ile hali yakujisikia una hatia,,Mshukuru Mungu kwa kipindi cha maisha mlichokua pamoja
Fungua moyo,maisha lazima yaendelee tena maisha ya furaha
Usikurupuke kuingia kwenye mahusiano au kumuoa mchepuko ulokua nae.