Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana

Ni mtu ambaye niliishi naye miaka kumi na tatu na tulibahatika kupata matoto wa nne.

Ila leo mama Agness nimempa talaka mahakamani bila kupenda. Imeniuma sana nilimzoea sana mke wangu.

Mama Agness ameniliza sana. Daaah talaka inauma sana kwa mtu aliyemzoea. Nimemuuzi mtu niliyempenda.

Ndiyo hivyo Tena hatimaye mimi na mke wangu leo mwendo tumeumaliza.
Basi hapo utataka uulizwe sababu na ilikuwaje kuwaje ili uone nawe unahitajiiiiikaaaaa, wabongo bana.
 
Ni mtu ambaye niliishi naye miaka kumi na tatu na tulibahatika kupata matoto wa nne.

Ila leo mama Agness nimempa talaka mahakamani bila kupenda. Imeniuma sana nilimzoea sana mke wangu.

Mama Agness ameniliza sana. Daaah talaka inauma sana kwa mtu aliyemzoea. Nimemuuzi mtu niliyempenda.

Ndiyo hivyo Tena hatimaye mimi na mke wangu leo mwendo tumeumaliza.
Hongera mkuu hata hivyo mmekaa sana
 
Uliwaza kuhusu watoto? Aiseeee Mungu anisaidie sana sana, huwa nawaza watoto wangu zaidi...
 
Ni mtu ambaye niliishi naye miaka kumi na tatu na tulibahatika kupata matoto wa nne.

Ila leo mama Agness nimempa talaka mahakamani bila kupenda. Imeniuma sana nilimzoea sana mke wangu.

Mama Agness ameniliza sana. Daaah talaka inauma sana kwa mtu aliyemzoea. Nimemuuzi mtu niliyempenda.

Ndiyo hivyo Tena hatimaye mimi na mke wangu leo mwendo tumeumaliza.
Ni mtu ambaye niliishi naye miaka kumi na tatu na tulibahatika kupata matoto wa nne.

Ila leo mama Agness nimempa talaka mahakamani bila kupenda. Imeniuma sana nilimzoea sana mke wangu.

Mama Agness ameniliza sana. Daaah talaka inauma sana kwa mtu aliyemzoea. Nimemuuzi mtu niliyempenda.

Ndiyo hivyo Tena hatimaye mimi na mke wangu leo mwendo tumeumaliza.
Mmefariki???
Kumaliza mwendo ni kudanja mzee
 
Ni mtu ambaye niliishi naye miaka kumi na tatu na tulibahatika kupata watoto wanne.

Ila leo mama Agness nimempa talaka mahakamani bila kupenda. Imeniuma sana nilimzoea sana mke wangu.

Mama Agness ameniliza sana. Daaah talaka inauma sana kwa mtu uliyemzoea. Nimemuuzi mtu niliyempenda.

Ndiyo hivyo tena hatimaye mimi na mke wangu leo mwendo tumeumaliza.

Piga moyo konde na uanze upya

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sitaki kutoa maoni kwani mkirudiana nitaona aibu. Talaka ni kanuni tu za maandishi ila bado mpo pamoja. Maisha ni safari ndefu inabidi kuvumiliana.
 
Mtoa mada si ungetusimulia sababu zilizopelekea kuvunjika kwa Ndoa ili na sisi wengine tupate kujifunza na kujirekebisha
 
Back
Top Bottom