Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Pole mkuu, tatiZo nn?Ni mtu ambaye niliishi naye miaka kumi na tatu na tulibahatika kupata watoto wanne.
Ila leo mama Agness nimempa talaka mahakamani bila kupenda. Imeniuma sana nilimzoea sana mke wangu.
Mama Agness ameniliza sana. Daaah talaka inauma sana kwa mtu uliyemzoea. Nimemuuzi mtu niliyempenda.
Ndiyo hivyo tena hatimaye mimi na mke wangu leo mwendo tumeumaliza.
Karibu kwwnye maumivu japo so pazuri huku