Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana

Kuoa ndoa za kikristo ni shida sana...ndoa ya kiislam ndio sahihi
Kabisa mkuu. Hawa waislam wanapunguza sana strees. Akiona tu mke hamuelewi,anavuta kitu kingine. Si umeona wanawake wa kiislam walivyo na heshima sana kwenye ndoa zao...
 
Kabisa mkuu. Hawa waislam wanapunguza sana strees. Akiona tu mke hamuelewi,anavuta kitu kingine. Si umeona wanawake wa kiislam walivyo na heshima sana kwenye ndoa zao...

Mimi mkristo ila nina plan ya kuoa kiislam. Hizi dini tumeletewa. Ukiziendekeza sana unakufa na stress.

Nimeusoma sana mkataba wa ndoa.. nimegundua ndoa ya kiislam inaendana sana na uhalisia wa maisha yetu ya mitaani kuliko ya kikristo. Nimeamua kuifata hiyo ndoa.. nachumbia binti wa kiislam na namuoa kiislam
 
August 13
 
TUKIWAAMBIA MSIOWE, MNATUTUKANA HUMU NA KUTUITA KAMA MPENDAVYO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...hayaa sasa ni muda muafaka wa kuwa review thread za maonyo ya humu ndani kuhusu ndoa, hakuna uzoeafu kwenye ndoa, hiyo sio shule mzee kusema kwamba muda wako uliokaa utakufnya uonekane mjuaji au ukwepe shida, shida iko pale pale, taraka iko peupee sanaa, na ndio maana unapewa cheti mapemaaaa maana hata wanaokufungisha ndoa hawana uwakika kama utafuzu au uta disco[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..poleeee aseee hii ndyo dunia, karbu kwenye ulimwengu wa mabachera[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh wanyaki wana nini mkuu? Ni viburi sana eeh??
 
Nenda kachukue mkeo before it’s too late. Kama unampenda kwanini ueteseke? Kwanini utese familia yako!? CHAKARIKA acha uzoba.
 
sababu nini?
 
Ndoa sio ya kila mtu, kuna mwingine utamzoea utaona kawaida! We nenda tu kaishi mwenyewe, nyie wa Kurya si wababe? Dada zetu wa kaskazini wamezoea kubembelezwa!
 
Teh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii inaitwa kua uyaone😃😃😃
Kama mmeweza kuishi miaka15 mnaweza kumalizia safari yenu kwa hiyohiyo style yenu
 
Mbna ulisema Leo ktk Uzi fln kuwa huyu mam Agnes's amepata ajalimbaya hapo kijichi
 
Hii inaitwa kua uyaone[emoji2][emoji2][emoji2]
Kama mmeweza kuishi miaka15 mnaweza kumalizia safari yenu kwa hiyohiyo style yenu
Kabisa ndio ukubwa wenyewe. Ndio tuko tunaendelea na hiyo style,japo ni ngumu. Usipojiweka sawa au iwe ndio chochote kiwe kinakupiga chenga (japo hiki kingekuwa hakiko sawa,angekuwa ametembea kitambo) hutakuwa na furaha. Ni fundisho kwa wanaokuja
 
Hakuna mkamilifu kwenye maisha, ukitaka furaha fanya kumsaidia mwenzio kukibeba kile usichokipenda kwake. Ukione kama ninulemavu wake na uamini wewe ndie mtu pekee wa kumkamilisha.

Ukishajifunza kumfurahisha moja kwa moja na wewe utafurahi...... Maisha yenyewe haya ya corona mafupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…