Kwa namna mambo yanavyoenda, mienendo, tabia, maamuzi ya viongozi wa Serikali kuhusu masuala nyeti ya kitaifa katika nyanja mbalimbali nimeishiwa kiu ya kuipenda Tanzania. Hata jezi ya timu taifa na bendera ya taifa sijui navionaje am not proud either, hata nikisikia wimbo wa Taifa sina mzuka nao.
Naona kama naishi kwenye jamii fulani ambayo imejaa viongozi majuha na mashetani.
Ni hayo tu
Wadiz