Nasikitika nimeanza kukosa msisimko wa upendo na uzalendo ninaposikia na kusoma neno Tanzania

Nasikitika nimeanza kukosa msisimko wa upendo na uzalendo ninaposikia na kusoma neno Tanzania

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Kwa namna mambo yanavyoenda, mienendo, tabia, maamuzi ya viongozi wa Serikali kuhusu masuala nyeti ya kitaifa katika nyanja mbalimbali nimeishiwa kiu ya kuipenda Tanzania. Hata jezi ya timu taifa na bendera ya taifa sijui navionaje am not proud either, hata nikisikia wimbo wa Taifa sina mzuka nao.

Naona kama naishi kwenye jamii fulani ambayo imejaa viongozi majuha na mashetani.

Ni hayo tu

Wadiz
 
HUYO ANAYEKUAMBIA KUWA MZALENDO....UTAFIKIRI YEYE MZALENDO

ova
 
Back
Top Bottom