Nasikitika sana kukosa hata kandinga kakuzugia mjini

Nasikitika sana kukosa hata kandinga kakuzugia mjini

Unawaza ndinga mwenzio anawaza pesaa ya kulaa ataipata wapiii.....maisha ndvyo yalivyo mkuu kikubwaa uzimaa...
 
usimiliki gari kama pesa zinasua sua .kumili gari ni bajeti nyengine ya matumizi.
 
Back
Top Bottom