Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Huu ulikua ukatili mkubwa sana kuvichoma moto vifaranga vikiwa hai...hili jambo Jiwe litamtafuna japo ni wanyama lakini aliwafanyia ukatili.
Sasa umekuwa mwongo.
Kilimo gani wanachokimbizana na ulaya?...
Kwa hiyo wewe unataka wakenya wafanye wanachotaka wao siyo?? Subiri tunapiga stop bidhaa zao zote kuja TZ tuone nani ataumia zaidi.
We jamaa mjinga kweli kweli, au baba ako hawalijui hata jembe, Pembejeo zinaongezeka bei kila mwaka mfano ni Mbolea ya kupandia DAP serikali imepeleka bei elekezi ya juu kuliko iliyokua inauzwa na makampuni kutoka tsh58000 hadi tsh63000, gharama za kulima zinakua kubwa afu serikali ya kijinga isiyojali wakulima wake inaua soko wwe unafurahiaWakulima Walime, Watanzania tule kwani Kenya tu ndo wanamatumbo peke Yao?.. Viongozi wetu sio wajinga na sisi Watanzania tupunguze uoga, changamoto kidogo tu mshaanza kupost Mabandiko, Kama hawanunui wao tutauza kwingine watakapo hitaji, ikishindikana tuuziane humuhumu Maisha yaendelee mi hua hainingii akilini kununua debe la Mahindi 20,000 wakati mengine yanapelekwa Kenya huko.. hii Ni Vita ya kiuchumi na Kenya wameshaona Kuna uwezekano wakageuka koloni la Tanzania.. Punguzeni Uoga Vijana, maendeleo hayaji bila changamoto.. Sengwile Makamanda!!
Hujui kitu huo mkataba wa 2017 ulikuwa mkataba wa serikali ya Uganda na serikali ya Tanzania kwa ajili ya kupitishia bomba nchini TZ wala siyo Mkataba wa Mwekezaji na Serikali ya Uganda. Mkataba wa Mwekezaji ambaye ni Total na Serikali ya Uganda umesainiwa mwishoni mwaka 2020 na baada ya hapo Rais Kaguta akaja Chato kwa JPM kumjulisha kusainiwa kwa mkataba huo. Unajifanya unajua kumbe ni UTOPOLO tupu. Inaonekana shuleni ulienda kusomea ujinga.Mkataba ulisainiwa 2017 ukiwa bado uko shule ya msingi, ama hukumbuki uzinduzi wa mradi kule Chongoleani Tanga, hadi Makonda na Marehemu Ruge wakapatanishwa na Magufuli? Ama unadhani tumesahau? Bado hujapanick, utapanick vizuri we kima.
Hopeless comment ever!Unaweza kuwa sababu kwa nini umasikini hauishi TZ kwa fikra zako
Maaana hapo ulipo kama si unategemea hela unayolipwa na TISS au CCM na basi unajiona umefika mwenyewe
Hama nchi uende Kenya very simple!We jamaa mjinga kweli kweli, au baba ako hawalijui hata jembe, Pembejeo zinaongezeka bei kila mwaka mfano ni Mbolea ya kupandia DAP serikali imepeleka bei elekezi ya juu kuliko iliyokua inauzwa na makampuni kutoka tsh58000 hadi tsh63000, gharama za kulima zinakua kubwa afu serikali ya kijinga isiyojali wakulima wake inaua soko wwe unafurahia
Tatizo wizara yetu ya Biashara pamoja na Wizara ya Kilimo hawana ubunifu zaidi ya kuitisha makongamano na kutoa ahadi chungu mzima - Serikali ya Kenya pamoja na raia wake ni watu tofauti na hapa kwetu, Wakenya ni wabunifu na uchangamukia fulsa - sisi kiswahili mirefu kama barabara na kulalama tu.Kilimanjaro kuna kilimo cha tangawizi na vitunguu, mazao ambayo yana soko Kenya..kwa muda sasa soko la hayo mazao limeyumba kweli..kiwanda chenyewe cha tangawizi huko Miamba kina taralila sio za kitoto. Dahhh!!
Lakini unazunhumziaje kuhusu hiyo sumu ya kwenye mahindi? Au kwa sababu sisi ndio wenyewe tufe tu. Huoni kama wakenya wametufumbua macho? Kuanzia leo sili dona tena!Wakulima Walime, Watanzania tule kwani Kenya tu ndo wanamatumbo peke Yao?.. Viongozi wetu sio wajinga na sisi Watanzania tupunguze uoga, changamoto kidogo tu mshaanza kupost Mabandiko, Kama hawanunui wao tutauza kwingine watakapo hitaji, ikishindikana tuuziane humuhumu Maisha yaendelee mi hua hainingii akilini kununua debe la Mahindi 20,000 wakati mengine yanapelekwa Kenya huko.. hii Ni Vita ya kiuchumi na Kenya wameshaona Kuna uwezekano wakageuka koloni la Tanzania.. Punguzeni Uoga Vijana, maendeleo hayaji bila changamoto.. Sengwile Makamanda!!
Wewe utakuwa mutoto ya shuleIna maana mnalima ili muwauzie Kenya? Basi nyie mnaolima ni wajinga
Hivi unajua chochote kuhusu masoko?kwani unalima kwa ajiri ya kenya!!!
unafikiri kenya wakianza kulima na wao utamuuzia nani mahindi??
Tafuta data za horticulture na top ten producers and exporters wa avocado, macadamia, sugar snaps, green peas, mangetouts, french beans etc haya ni mazao hot soko la ulaya.Sasa umekuwa mwongo.
Kilimo gani wanachokimbizana na ulaya?
Chai?, ulaya hawalimi chai. Makampuni makubwa yanayolima chai ni ya walowezi waingereza.
Maua? Mkenya gani analima maua kama sio kampuni za ulaya.
Mahindi? Mkulima wa mahindi Uasini Gishu, Kitale na sehemu zote za Rift Valley sasa hivi wanatelekeza mahhindi kwa sababu ardhi imechoka ile mbaya, pamoja na kupewa ruzuku ya mboleakila mwaka!
Sasa tueleze wewe unayedanganya hapa bila aibu, hao wakenya wanalima kitu gani kutuzidi.
Ngoja nikusaidie sehemu moja, ambayo ni uzembe wetu tu, lakini na yenyewe tukiweka juhudi kidogo muda si muda tunawatupilia mbali - Maziwa - uzalishaji wa maziwa..., lakini na wenyewe sasa Uganda anawaliza, halafu wewe unakuja kusifia hapa na kuwalinganisha na ulaya?
Hujui kitu huo mkataba wa 2017 ulikuwa mkataba wa serikali ya Uganda na serikali ya Tanzania kwa ajili ya kupitishia bomba nchini TZ wala siyo Mkataba wa Mwekezaji na Serikali ya Uganda. Mkataba wa Mwekezaji ambaye ni Total na Serikali ya Uganda umesainiwa mwishoni mwaka 2020 na baada ya hapo Rais Kaguta akaja Chato kwa JPM kumjulisha kusainiwa kwa mkataba huo. Unajifanya unajua kumbe ni UTOPOLO tupu. Inaonekana shuleni ulienda kusomea ujinga.
Kwa kusoma mstari huu tu, ninaweza kwa uhakika kabisa kusema kuwa "mipango/actions zenye tija" hapa hakuna kabisa.Ushabiki wa Simba Vs Ysnga na maneno mengi bila mipango/actions zenye tija, zinazoonekana,mwisho wa siku tutabakia siku zote kuwa wasindikizaji..
Afadhali kidogo hapaumekuwa 'specific', na tunaweza kuanza mjadala wenyewe.Tafuta data za horticulture na top ten producers and exporters wa avocado, macadamia, sugar snaps, green peas, mangetouts, french beans etc haya ni mazao hot soko la ulaya.
Tea, coffee, cotton, mahindi nk ni mazao yasiyo na tija tulishaachana nayo wewe upo dunia ya wapi?
Unaposema wanaolima ni wazungu kumbe bado upo dunia ya kuangalia skin color
Brother unaongea as if uko peponi, laiti Kama ungekuwa duniani ungewahurumia kidogo wakulima brother.Wakulima Walime, Watanzania tule kwani Kenya tu ndo wanamatumbo peke Yao?.. Viongozi wetu sio wajinga na sisi Watanzania tupunguze uoga, changamoto kidogo tu mshaanza kupost Mabandiko.
Kama hawanunui wao tutauza kwingine watakapo hitaji, ikishindikana tuuziane humuhumu Maisha yaendelee mi hua hainingii akilini kununua debe la Mahindi 20,000 wakati mengine yanapelekwa Kenya huko..
Hii Ni Vita ya kiuchumi na Kenya wameshaona Kuna uwezekano wakageuka koloni la Tanzania.. Punguzeni Uoga Vijana, maendeleo hayaji bila changamoto.. Sengwile Makamanda!
Itakuwa akili zako zinaupungufu fulani boma la km zaidi 2000 limalizike chini ya miaka 3? Kwani total kuwepo ndiyo mkataba ulkkuwa wao?Endelea kupiga Siasa mfu hapa jukwaani, siku inafanyika uzinduzi huko Chongoleani Tanga wazungu wa Total walikuwepo, na tuliambiwa kufikia 2020 mwishoni mradi utaanza kazi. Hapa unajichoresha tu maana hata uzi wa jambo hilo upo humu ndani. Nipe dakika chache nikutag huo uzi ndio uje kichwani umejaza haja Kubwa.
Itakuwa akili zako zinaupungufu fulani boma la km zaidi 2000 limalizike chini ya miaka 3? Kwani total kuwepo ndiyo mkataba ulkkuwa wao?