Nasikitishwa na uhusiano wetu na Kenya, unaumiza wakulima na wafanyabiashara

Kuna uzi nimekutag, pitia huko ukaone kiwango cha ujinga wako na serikali ya wapika data na majizi ya kura.
Utakufa na stress tu wewe awamu zote wewe ni kulalamika tu.
 
Katakuwa katoto cha chuo hako kanaishi kwa boom la serikali.
We unaeandika utumbo huu ni mkulima au umejiskia tuu uandike!!?
Unajua shida tunayoipata sisi mipaka ikifungwa mbeha wewe!!?

Alafu nmekumind kishenzi yaan.
 
Nina mashaka na uwezo wa uwelewa wako juu ya muingiliano wa kiuchumi na majirani [Economic Integration]. Na Kama ulienda shule bhas ulipoteza muda na neno lako la mwisho sengwire makamanda limenifanya nikuelewe zaidi. Jua kuwa kila jambo so lakulikimbilia na kuropoka tu, mengine yanahitaji weredi. Upo kamanda?
 
Katakuwa katoto cha chuo hako kanaishi kwa boom la serikali.
Hapana yule chuo kwa aliyoongea hajafika na ukimpendelea sana form four tena failure. Anachoamini kwamba nchi inaweza ikajitosheleza kwa kilakitu au kujiendesha yenyewe na ikapiga hatua kimaendeleo.
 
Hilo bomba la hoima liko wapi? Mmeuza mafuta mapipa mangapi mpaka sasa? Maana tuliambiwa linakamilika 2020.
Unadhani hilo bomba ni kama la Dawasa tu yaani ni kuamka asubuhi unaazima chepe na sururu kwa mzee mwalubadu unachimba,unachimbua,unafukia...ee!
 
Unadhani hilo bomba ni kama la Dawasa tu yaani ni kuamka asubuhi unaazima chepe na sururu kwa mzee mwalubadu unachimba,unachimbua,unafukia...ee!

Ulikuwa wapi 2017 wakati tunaambiwa litakamilika 2020?
 
TATIZO NI MEKO.
 
1. Acheni kulia lia ovyo ovyo.
2. Dhana ya uchumi wa viwanda bado haijaingia kichwani.
3. Value addition ni muhimu sana
4. Soko siyo lazima liwe kenya. Acha kukariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…