Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Sina uhakika kama haya mambo wanafanya wakiwa wanajua uzito wa madhara wanayoweza au wamekua wakusababisha kwetu sisi wateja wao. Kwakweli leo hii nimehisi kukosa kabisa uvumilivu.
Sijui hata niandike nini, niache nini lakini ninyi wajasiriamali wazalendo ambao kwa nia njema kabisa tunaamua kuwaunga mkono na kufanya kazi na nyie, aisee jiangalieni sana sana.
Haiwezena server down-time inamaliza all the 12 day hours bila service kupatikana.
Mtu ume purchase a private virtual server ku manage mifumo ya wateja wako halafu unakutana na ujinga huu ambao kampuni ya RouteAfrica wanatusa nao sisi wateja wao.
Hawana majibu ya maana zaidi ya kukuambia "kuna changamoto National Data Centre".
Seriously, ndio kusema kwamba hamna backup servers incase of emergency ili kutoruhusu sintofahamu kama hii??
Imagine sis wateja wenu tuna wateja wetu ambao ofis zao operation haziend bila systems kuwa hewan????Mnafikiria sisi tunaweza kuwapa majibu rahis rahis hii?
THe whole day today servers are under down-time status na hamna alternative zozote?? Na mwishobwa siku hamna demage compensation zaidi ya viji samahani vyenu.
ROUTEAFRICA niwashauri sanaa ,acheni huu ubabaishaji. Na ninyi ni mfano tu maana karibia Hosting agents wengi Tanzania mna changamoto sana za namna ya ku address na ku handle service faults zinazosababisha sisi wateja wenu kuharibikiwa reputations kwa wateja wetu!.
Badilikeni.