Nasikitishwa sana na kuhisi ninahujumiwa na hawa watoa huduma za ku "host" wavuti (website) wa hapa Tanzania

Nasikitishwa sana na kuhisi ninahujumiwa na hawa watoa huduma za ku "host" wavuti (website) wa hapa Tanzania

Wenzio ni reseller 😀 ujaelewa manake?? Au bado tu, wenzio wanategemea wahindi wawape majibu kisha wakujibu wewe hahaha, so huo muda hawana kwani wao Wana server
 
Wenzio ni reseller 😀 ujaelewa manake?? Au bado tu, wenzio wanategemea wahindi wawape majibu kisha wakujibu wewe hahaha, so huo muda hawana kwani wao Wana server
Ni sahihi unachosema mkuu. Very true
 
Sana sanaaa, na kila week wananipatia report

Kwa security na error logs ni kwa haraka hii haisubiri week ipite or kufika na sometimes ikiwa wametatua tayari ndio napokea tena kwa personal email .
Kuna data huwa nahifadhi katika kampuni fulani ya kihindi.

Kuna siku nili kosa access kwa saa 1, huwezi amini wali nicheck kuomba radhi na kupewa discount ya mwezi unao fata.
 
Daahh!!! Bongo hii sijui tuna tabu gani hakyanani!!
Ndio nchi yetu,kwa upande wangu nilikurupuka nikifikiri naokoa gharama kwa kuwapatia kazi watu wa nyumbani sababu sikuwa nafahamu mazingira halisi ya kwao lakini kwa muda sehemu niliyokuwepo ingenipa urahisi kuepuka changamoto iliyotokea.
 
Kuna data huwa nahifadhi katika kampuni fulani ya kihindi.

Kuna siku nili kosa access kwa saa 1, huwezi amini wali nicheck kuomba radhi na kupewa discount ya mwezi unao fata.
Huu ndio utaratibu mzuri unaotakiwa lakini company nyingi za kitanzania hapo hadi usumbuane nao kwa email na simu mara utume watu waende ofisini kwao ,ni kero.
 
data centers uchwara zina run kwa umeme na tanesco na back-up diesel gen ya 2kVA
Hakika, itabidi tupate company names za uhakika kwa changamoto ndogo ndogo iwe rahisi kuwakimbilia.
 
Huu ndio utaratibu mzuri unaotakiwa lakini company nyingi za kitanzania hapo hadi usumbuane nao kwa email na simu mara utume watu waende ofisini kwao ,ni kero.
Hizo simu SI mpaka wapokee, hizo email labda wakose kazi.
 
Back
Top Bottom