Nasikitishwa sana na kuhisi ninahujumiwa na hawa watoa huduma za ku "host" wavuti (website) wa hapa Tanzania

Nasikitishwa sana na kuhisi ninahujumiwa na hawa watoa huduma za ku "host" wavuti (website) wa hapa Tanzania

Customer service zao ni totally trash,mimi ni mkali sana kwa watu wangu kwenye kipengele hiki.
kuna Jamaa nili hitaji service yao Leo, nika enda ofisini kwao but he wasn't there.

pigia simu, aka sema yuko karibu ila kafika Baada ya dk 15 .
kwanza kaanza kulalamika, bila hata ya kuni salimu.

nika waza ndo tume zoeana ama??, kamsalimu mtu mwingine nika ona hizi dharau. But I didn't care.

SI aka anza kuondoka, namsemesha ana nipa Maelekezo huku ana ondoka.
Nampigia namu uliza una jua niko hapa kwasababu ipi??

Kimya, Eti ohh huja niambia, nika mwambia hata salamu huja salimu.
afu una ondoka, akawa ana Rudi.

Nika mwambia nenda tu, nita enda kwingine
 
Back
Top Bottom