Huyu mweka mada ni zwazwa anataka tulee serikali isiyowajibika tumechoka na hilo!, we usipolipa kodi kwenye biashara yako unafungiwa ila wao hiyo hamsini ambayo huduma hiyo ni wajibu wao wanajibu watu kijinga!.
Tanzania tunalea ujinga sana!, Mtu unakuja na hoja ati ujauzito sio jambo la ghafla haya na hapo hospitali kwani hawajui kuwa ujauzito sio jambo la ghafla..? walikuwa wapi kujiandaa!. hakuna mtu atalalamikia serikali kama serikali haijajipa jukumu hilo mbona huduma tunazojua zakulipia hatupigi kelele..?
wanataka kutuona mazwazwa hawa, hapo ingekuwa ni mke wa kiongozi angehudumiwa vizuri na kila kitu kingepatikana pasipo kuombwa hata senti moja jinga sana mweka mada!.