ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
- Thread starter
- #101
Gharama za kujifungua ni elfu 50?Umetumia akili hata kidogo? Serikali hela ya kujenga hivyo vyote imetoa wapi? Kama hujui hela hizo serikali imetoa kwa wanachi hao hao mnaowatukana. Acheni ujinga nyinyi.
Dr analipwa kwa kodi ya mwananchi, vifaa tiba na dawa zinanunuliwa kwa kodi ya mwanachi, halafu bado mnataka mwanachi huyo huyo agharamie matibabu like WTF ? Acheni kukusanya kodi basi.
Ndo ukilipa Kodi usinunue nepi ya mtoto, soksi, gloves, usinunue kitabu cha mtoto wa shule, usilipe pesa ya tuition ya mwanao,
Tuwajibike, ujamaa ulidumaza tunawaza kuhurumiwa na kusaidiwa tu