Nasimama na Mkuu wa mkoa wa Dar, kutukumbusha kuwajibika

Nasimama na Mkuu wa mkoa wa Dar, kutukumbusha kuwajibika

Unaenda kinyume na sera ya afya, hao wanafadhili na UZAZI salama, kupunguza vifo vya mama na mtoto, pesa hizo zinaenda wapi?
Kuzaa kunahitaji vitanda maalumu, wataalam n. K vyote umevikuta Bado kuchangia elfu 50 unaona kama umeombwa Jiwe la almasi
 
Sasa, hapo mbona unamlalamikia maanamke, ana kosa gani!? Sawa, chupi alivua akapigwa na ikaingia. Mpaka miezi 9, anafanya kazi gani!? Je, shida zake unazijua mpaka umkejeri? Huenda alikuwa nayo akanunua matunda! Hapo wa kulaumiwa ni mwanaume. Na kwa hali yake, hakukuwa na sababu ya kumfanyia hayo yote, angesaidiwa au kitengo cha customer care kimtafute mwenye mimba alipe, akikataa taratibu nyingine zifuate.
Hapa tu wa kuvua chupi, ndo ungewambia wawe na akili, watambue wanaowavulia chupi zao, japo kuna wengine wanategesha makusudikali. Ukute ni mme wa mtu.
 
Kuzaa kunahitaji vitanda maalumu, wataalam n. K vyote umevikuta Bado kuchangia elfu 50 unaona kama umeombwa Jiwe la almasi
Hivo vitanda wamenunua wananchi na hao wahudumu wanalipwa na wananchi sasa hiyo 50000 iende wapi ?
 
Hivo vitanda wamenunua wananchi na hao wahudumu wanalipwa na wananchi sasa hiyo 50000 iende wapi ?
Uhalisia vifaa havitoshi
Inatakiwa uchangie hizo gharama, huduma ipatikane
 
Duh!! Mimi namini nchi hii tukikupa wewe uwe raisi hivo vifaa vitatosha na huduma ya afya huenda ikawa bure…utafeli kwenye mambo makubwa ambayo marais wengi wamefeli.
Nikiwa Rais nitawatoa Watanganyika fikra za kijamaa
Kupenda kuhurumiwa na kusaidiwa
Hii Dunia ni vita pigana, wajibika ndo upate
Mtu anabwabwaja kulipia 50 mwenzake yupo Agha Khan kujifungua Kwa million 5 wala halaumu serikali
 
Leo watu wanamshambulia Mkuu wa mkoa wa Dar Kwa kumjibu mama mjamzito aliyeambiwa na wauguzi kuhusu kuchangia pesa ya kumnunulia gloves 🧤 za kumsaidia kujifungua

Mimba ni miezi 9 sio suala la ghafla kama ajali,
Yaani mwanamke anavua chupi, mimba inaingia, unalea mimba miezi 9,
Hadi siku ya kujifungua unafika hospitali na uchungu hata elfu 50 huna ya kuchangia huduma
Watanganyika acheni madeko tuwajibike

Hivi kama mwanaume unajisikiaje mkeo anafikia hatua ya kujifungua na wewe upo hai hujatoa hata 100?, halafu unataka mtoto awe u bin wako

Serikali imejenga hospitals, umeajiri waganga, wauguzi na wakunga, Kuna vifaa hata unaambiwa uchangie elfu 50 unaona si haki, hadi kupiga simu Kwa mkuu wa mkoa

Hata Mimi ningekuwa mkuu wa mkoa Nina hakika ningempa jibu kama la Chalamila

Haiwezekani serikali ikufanyie kila kitu aisee

Huko kwenye elimu ndo balaa, wazazi walivyoambiwa elimu Bure, hawawajibiki Kwa lolote, anatamka asbh mtoto anamtuma shule

Mzazi hajui hata bei ya kitabu, akiombwa mchango wa masomo ya ziada, analalamika hadi Kwa Rais Samia, Sasa hizi akili za wapi?

Watanzania tujikumbushe wajibu wetu
Nasimama na chalamila..na ndio ukweli mchungu.

Kikubwa kinacho leta lawama hizi ni UMASKINI

Siku zote UMASKINI haijawai mpendeza mtu Kama suti
 
Hapana ni pesa ya kawaida kabisa watu wanajifungua mpaka 1m

Tuache kulia Lia tatizo labda ni UMASKINI

naogopa Sana UMASKINI ni hatari Sanaa

Hapo lugalo tu pesa ni zaidi ya 50k
Kujifungua si bure lakini? Sasa hiyo mpaka 1M kwenye hospital ya serikali imefata nini? Kwanini ufananishe na hospital ya private
 
Chalamila anazidi kuropoka,juzi tu hata miezi miwili haijapita alisikika akisema wanaume wanaouza uduvi wataolewa!
Muuza uduvi kweli,na familia yake wakimsikiliza Mkuu wa mkoa anasema maneno hayo si ni fedheha kubwa!
Huyo aliyempigia kuhusu kujifungua ni Wazi ana uwezo mdogo,mtu asiyekuwa na shida ndogo ndogo hawezi kujihangaisha kumpigia Mkuu wa mkoa kuhusu gloves!
Watu Wana hali Ngumu za kimaisha,Vitendo vya kuwatweza UTU wao kama huyu Mkuu wa mkoa anavyotaka kuzoea kunapaswa kupingwa,sio Haki.
Kama huwezi kumsaidia mtu,usimuumize.
 
Chalamila anawambia ukweli
Tatizo ukweli ni machungu
Tuwaze mbali huwezi kuuza uduvi na nguvu unazo ukatoboa
Kwanini kijana una nguvu upate wazi la kuuza uduvi hiyo biashara ya mabibi
 
Leo watu wanamshambulia Mkuu wa mkoa wa Dar Kwa kumjibu mama mjamzito aliyeambiwa na wauguzi kuhusu kuchangia pesa ya kumnunulia gloves 🧤 za kumsaidia kujifungua

Mimba ni miezi 9 sio suala la ghafla kama ajali,
Yaani mwanamke anavua chupi, mimba inaingia, unalea mimba miezi 9,
Hadi siku ya kujifungua unafika hospitali na uchungu hata elfu 50 huna ya kuchangia huduma
Watanganyika acheni madeko tuwajibike

Hivi kama mwanaume unajisikiaje mkeo anafikia hatua ya kujifungua na wewe upo hai hujatoa hata 100?, halafu unataka mtoto awe u bin wako

Serikali imejenga hospitals, umeajiri waganga, wauguzi na wakunga, Kuna vifaa hata unaambiwa uchangie elfu 50 unaona si haki, hadi kupiga simu Kwa mkuu wa mkoa

Hata Mimi ningekuwa mkuu wa mkoa Nina hakika ningempa jibu kama la Chalamila

Haiwezekani serikali ikufanyie kila kitu aisee

Huko kwenye elimu ndo balaa, wazazi walivyoambiwa elimu Bure, hawawajibiki Kwa lolote, anatamka asbh mtoto anamtuma shule

Mzazi hajui hata bei ya kitabu, akiombwa mchango wa masomo ya ziada, analalamika hadi Kwa Rais Samia, Sasa hizi akili za wapi?

Watanzania tujikumbushe wajibu wetu
Umetumia akili hata kidogo? Serikali hela ya kujenga hivyo vyote imetoa wapi? Kama hujui hela hizo serikali imetoa kwa wanachi hao hao mnaowatukana. Acheni ujinga nyinyi.
Dr analipwa kwa kodi ya mwananchi, vifaa tiba na dawa zinanunuliwa kwa kodi ya mwanachi, halafu bado mnataka mwanachi huyo huyo agharamie matibabu like WTF ? Acheni kukusanya kodi basi.
 
Back
Top Bottom