KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Mkuu usitetee ujinga serikali yetu imezidi kutowajibika ipasavyo we hujui tu!, hili swala mimi ningekuwa ndo rais namuondosha huyo mkuu wa mkoa napia naenda kwenye hiyo hospital ana kwa ana nione wanakwama wapi mpaka wanakosa vitu basics kama hivyo!, hospital mnakosa gloves fungeni sasa mkalale tujue hakuna huduma!.. mkuu hivi we unajisikiaje majority of people wanategemea hospitali za serikali, hii haijalishi uwe tajiri ama maskini halafu private vitu vipo ila government vitu hakuna!. swala ni uwajibikaji tu!.Sio kweli mkuu
Hata kama, kuchangia gharama za kujifungua haipaswi kuwa jambo la kupigia kelele
Sasa tutawezaje kupinga rushwa za rasimali zetu, ikiwa hata mtu unashindwa kuchangia elfu 50 ili mkeo ajifungue
Msitetee ujinga badilikeni fikra hizo!.