Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Kumekuwa na nyuzi nyingi sana ambazo zinaanzishwa kwa hoja ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu hivi Hawa watu wapo nyuma ya Nani? Hivi hawaoni jinsi anavyojitajidi kupambana na mchwa inayoligharimu Taifa.
Kama sio Majaliwa unadhani huko kwenye halmashauri Hali ingekuwaje japo wanamzidi akili sababu wanajua mtetezi wao yupo?
Mawaziri na wizara zote zinaripoti kwa rais lakini Kama wangekuwa wanawajibika kwa Waziri Mkuu aisee hawa kina Nape, Makamba, Mwigulu, aweso wasingekuwa ni mawaziri wakusemasema vitu visivyohitajika kusikia watanzania.
Waziri Mkuu yaan Kassim Majaliwa kwa Sasa ndio nguzo imara kwenye serikali hapa Tanzania.
Mawaziri wameshindwa kumuheshimisha Rais na wanaofanya juhudi za kumdharau Waziri Mkuu sema kwa uhodari na uwanaume alionao Kassim Majaliwa nakwambia anakomaa nao.
Hata Hilo genge nasikia wanasema amebaki Kassim tuu ili mamboyao yaende vizuri nawashauri karatasi ya kura ndio itaamua nasio wao.
Rais ni taasisi kubwa Kama kuona anatakiwa kuona sababu wateule wake hasa mawaziri wengi wanaviburi vya pesa na wengi wanatafutiwa mmoja wao she kuwa namba moja na wanaofanya haya ni wateule wako ndani ya chama wengine wateule wako wa serikalini na wengine umeamua kuishi nao sababu wanaonekana Ni wazuri kwenye Biashara za kimataifa.
Rais aangalie vizuri watu wake wa karibu wanamsaliti parefu na Kassim Majaliwa anajitahidi kupambana nao lakini Rais huumpi nguvu tafadhali lione Hilo.
Mwisho Tanzania Ni yetu sote tufanye kazi kwa juhudi tuondoe umaskini kwenye familia zetu kwani kulalamika hakujawahi kuleta ugali mezani.