Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
😅🙌Duniani Kuna mamboKwamba Zari ile flat tummy kaipata kwa Keshas? Kuwa serious Mkuu.
Alienda kufanyiwa surgery Nairobi kuondoa tumbo na kuongezwa makalio kwa dokta aliyemfanyia Tanasha, kisha akaenda kupunguza miguu UK.
Kaa humo
Eti na pia huduma za kuwapunguza matumbo na kwuachonga shape mwisho anawambia inabidi aingize dawa kwa mlingoti wake.Makubwa
Mie mgeni
Kwahiyo ndo anatoka hizo huduma?
It seems to be the best comment all of themUtaalamu wa kupunguza matumbo ameutoa wapi huyo jamaa?
There are too many stupid people walking the face of the earth!
Since stupid is as stupid does, they deserve everything they get and then some!
I wish I could legislate stupidity….
KhaaaaItakuwa wanamsingizia.
Kwanza alishakataa kufanya kazi na wadada asiowajua ,wadada wengine wanafosi sasa kumkomesha wanamtengenezea zengwe kama hili.
😅🙌Ss hiyo dawa inafanyajr kazi?Eti na pia huduma za kuwapunguza matumbo na kwuachonga shape mwisho anawambia inabidi aingize dawa kwa mlingoti wake.
Ni kwamba huyo na wale wanaosema tuma kwenye namba hii wanaingia kundi moja. Wote ni matapeli
🤣🤣Kwanza sina kitambi sijui tumbo, pili hata ningekuwa nalo nisingeweza kufanya huo ujinga, never!
Eti anawambia lazima ifike kwenye nyonga. Hatari sana😅🙌Ss hiyo dawa inafanyajr kazi?
Dunia kweli imeisha
Km Kuna sehemu Iko sensitive ni maungo ya uzaziEti anawambia lazima ifike kwenye nyonga. Hatari sana
Jezebel spirit hiyoPoleni sana wakina dada, mnataabika kwa kiasi kikubwa juu ya miili yenu, hebu achaneni na wakati, acha wakati uende na sio kukimbizana nao.
Mkuu mjini hatari tupu hizi salun za kuwanyoa wanawake zipo muda ila nilikuwa nadhani wananyolewa na wanawake wenzao kumbe siku hizi hadi wanaume.Km Kuna sehemu Iko sensitive ni maungo ya uzazi
Ss Hawa wanatafuta kuoza
Yetu macho
Ngoja nikwambie mwaya, utakapoanza kujibadili kiungo kimoja… kila ambacho hujabadili utakiona kibaya.😅🙌Duniani Kuna mambo
Ach siye tuwe watazamaji
Namuombea Mungu anipe uhai nione mwisho wa hizo surgery...
Yaani wengine wanapumguza miguu😅
Wengine tunaambiwa miguu km fito
Namshukuru Mungu Kwa hivi alivyoniumba!Ngoja nikwambie mwaya, utakapoanza kujibadili kiungo kimoja… kila ambacho hujabadili utakiona kibaya.
Ni mwendo wa kubadili kila kitu.
Unajua Zari alianzaga na nini? Zile braces kwenye meno, baadae botox, akaenda kuchonga tumbo na kiuno, kaongeza makalio, mwisho kapunguza miguu.
Na kuna uwezekano mkubwa zaidi wa kuendelea…
Wamezaliwa kutumika.Yani mimi kitu ambacho sielewi hivi siku hizi guts na haya wanawake wameiweka wapi hadi anaweza kwenda akamvulia mwanamme eti ampake dawa kwenye K au amnyoe mavuzi. Kwa kweli dunia iko kasi sana.
Kuna mwamba mmmoja wa TEXAS. Kafanyiwa procedure 300. Sasa hivi yupo kama MJUSI bahati mbaya nimefuta picha yake.Ngoja nikwambie mwaya, utakapoanza kujibadili kiungo kimoja… kila ambacho hujabadili utakiona kibaya.
Ni mwendo wa kubadili kila kitu.
Unajua Zari alianzaga na nini? Zile braces kwenye meno, baadae botox, akaenda kuchonga tumbo na kiuno, kaongeza makalio, mwisho kapunguza miguu.
Na kuna uwezekano mkubwa zaidi wa kuendelea…
Kabisa mkuu.Sioni kosa lake huyu jamaa
Maana wanaenda wenyewe
Alikuwa anataka kuwa Alien namjua.Kuna mwamba mmmoja wa TEXAS. Kafanyiwa procedure 300. Sasa hivi yupo kama MJUSI bahati mbaya nimefuta picha yake.