Nasisitiza: Hakuna Mwanaume anayekataa Kumtunza Mtoto wake! Hakuna

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
NASISITIZA; HAKUNA MWANAUME ANAYEKATAA KUTUNZA WATOTO WAKE.

Anaandika Robert Heriel
Baba.

Hakuna Mwanaume anayekataa kutunza m/watoto wake. Hakuna mwanaume wa hivyo. Ikiwa Sisi wanaume tunatunza watoto wasio wetu, ndio ninyi Wake zetu, sembuse Watoto wetu WA kuwazaa wenyewe. Ikiwa wanaume tunaweza kuoa wanawake hata kumi na tukawatunza bila shida yoyote sembuse Watoto tuliowazaa Sisi wenyewe. Come on! Embu tuwe Sirius kidogo

Wanaume kiasili tunauungu ndani yetu, tuliumbwa tukapewa uungu ndani yetu na hilo ndilo Wanawake wanaloona ni tatizo kwao. Sisi ni miungu kitabia. Utake usitake, nafahamu wapo watu watakaobisha hasa Wale watu wenye Uelewa mdogo WA mambo.

Baba, kamwe hawezi kukataa kumtunza Mtoto wake. Never ever. Hakunaga Baba WA hivyo.
Ila zipo sababu zinazoweza kumfanya Baba akakataa kutunza watoto wake. Zingatia Hata mke ni sehemu ya watoto kwa Baba au mwanaume. Nazungumzia mwanaume kamili.

Zifuatazo ni sababu zinazopelekea Baba akakataa kumtunza Mtoto/watoto

1. MKE NA WATOTO KUKOSA UTII KWA BABA
Nature ya binadamu ipo wazi Kabisa. Mwanaume anapenda kuheshimiwa, kutiiwa, kunyenyekewa, kusikilizwa hata Kama yupo wrong. Hiyo ni kanuni Kwa Watawala wote Duniani. Zingatia Mwanaume kiasili ni Mtawala.
Mtawala yeyote anapenda kuheshimiwa, kutiiwa hata kama amekosea. Ukijifanya unabishana na mjuaji Kwa watawala basi tegemea maumivu. Hiyo hata kwenye ngazi ya familia ni hivyohivyo.

Mwanaume anayohaki na wajibu ya kumuadhibu mtu asiyejitambua nafasi yake/asiyemheshimu.
Baba anaweza kusitisha Huduma NYUMBANI kama hamumheshimu, ikiwezekana akawafukuza wote.

Mungu kama Baba Mkuu ndiye Role model wa wanaume wote. adamu na Hawa walipoonyesha Dharau, wakamvunjia heshima yake Kama Baba wakala matunda waliyoagizwa wasiyale, Aliwafukuza Bustani ya Edeni, tena atakatoa na adhabu ya Kifo, na kuishi maisha ya dhiki, huku tukila Kwa jasho.

Baba asiyeheshimiwa alafu akawa anaendelea kutoa huduma Kama awali anakosa vigezo vya kuitwa Baba, kwamba anahofu, hajiamini, na pia amejidharau.

Wanaume wote Sisi ni mashahidi, wengi wetu hakuna tutakachokipata Kwa Kulea Watoto wetu hawa. Wengi watashikamana na Mama zao pindi tukiwa Wazee. Tena watoto wengine watatugeukia na kutaka kutuua ili wagawane Mali tulizozichuma.

Baba tunapolea na kutunza Wake zetu, ni Kwa sababu ya upendo tulionao kwao. Na sio kwamba tunakitu tunatarajia kutoka kwao. Na Baba yeyote anayetegemea kurudishiwa Fadhila Kwa kuwalea watoto namhakikishia atavuna maumivu tuu.
Fanya Kama Baba, Baba ni chanzo, Provider, na kamwe Baba hatakiwa kutegemea Malipo.

Mtoto ukikosa Adabu, au mke akikosa adabu ni halali ya mwanaume kumuadhibu Kwa Kupunguza matumizi au Huduma. Ikiwezekana kumfukuza kabisa.

Wanaume wenzangu, hasa Vijana mliozaliwa miaka hii. Msiogope na wala msisite kushughulika na Mke au Watoto wasiokuheshimu.

Watoto au mke asiyemheshimu mume ni Sawa na Wananchi wasioheshimu Mamlaka za serikali. Lazima washughulikiwe kivyovyote vile bila kujali Nani atasema.

2. KUTUMIA MALI AU FEDHA VIBAYA. UBADHIRIFU WA MALI
Mke kaomba pesa Fulani labda tuseme Ada. Mtoto aende chuo au shule, akatamka Tsh 2M, alafu unakuja kusikia mtoto hajaenda shule au kapelekwa Shule yenye Ada ya Tsh 1M. Au anatoa sababu zisizoeleweka.
Au katumia katika matumizi ya kijinga. Mwanaume Kama Baba, anayethamini jasho lake, kazi ni kipimo cha UTU. Kama mtu anachezea pesa zilizozalishwa na kazi yako. Ni kwamba hathamini utu wako.

Mwanaume anayomamlaka ya kutotoa Huduma hiyo Kwa muda ili iwe funzo. Hii ni Sawa na mtoto anayekula Ada, Baba anauwezo WA kumpumzisha hata mwaka mzima bila kusoma ili ajifunze.

Baba hautakiwi uwe unachapa chapa au kupigapiga. Bali adhabu zako ziwe za kufundisha ili mtoto ajifunze.

3. KUTENGANA AU KUTALAKIANA
Baba anayohaki ya Kupunguza Kama sio kuacha kabisa kutoa Huduma Kwa mwanamke aliyetengana naye.
Kuhusu kuhudumia watoto Inategemea na vile mtoto alivyo,

Kanuni inasema,
Miti iliyokaribu na MTO wa Maji ndio yenye kustawi na kunawiri; Pia Moto iliyombali na MTO wa Maji haiwezi kustawi na kunawiri vizuri ukilinganisha na Ile iliyopo karibu na maji.
Pia Maji hayafuati Miri isipokuwa Mizizi ya Miti ndio hufuata Maji ya MTO.

Kadiri mtoto anavyowekwa mbal na Baba yake ndivyo anavyokosa na kupoteza baadhi ya Haki zake.
Na kadiri mtoto anavyokuwa karibu na Baba yake ndivyo anavyopata Favour nyingi zaidi.

Nilieleza kuwa Kuna baraka za mbali Kwa waliombali. Na kuna baraka za karibu Kwa waliokaribu.
Taikon napendekeza kama Mwanamke hujiwezi Sana kiuchumi na unashindwa kumhudumia mtoto wako ni Bora umpeleke Kwa Baba yake. Vinginevyo lazima ukubaliane na uhalisia wa nature ilivyo.
Au uendelee kumheshimu na kuwa kama mwanamke unapowasiliana na Mzazi mwenzio.

Vinginevyo hakuna sheria yoyote duniani ya kupindua sheria za Asili.
Hata wasomi wake watunge Sheria za kumlazimisha Baba atoe matumizi yake kilazima, atatoe Yale yaliyokwenye ulazima lakini mtoto atakosa baadhi ya vitu vingine ambavyo watoto wenzake wa Baba yake wanavipata.

Kwa mwanaume heshima yake ndio Jambo la Kwanza baada ya Uhai wake. Kisha ndio ifuate familia yake. Sio familia ivunje heshima ya mwanaume alafu mwanaume achekecheke hilo halipo.

4. KUTOKUSHUKURU

Mwanaume anaweza kataa kutoa Huduma Kama anatoa Huduma Kwa mtu au mtoto asiyeshukuru.
Kutokushukuru tafsiri yake ni Dharau, kutokuthamini nguvu yake na riziki ndogo aliyopewa na MUNGU.
Kumbuka hata Mungu kama Role model wa wanaume wote duniani, usiposhukuru Kwa kidogo anachokupa basi sio ajabu akasitisha hata mambo mengine aliyopanga kukupa.

Lawama na matusi hayajawahi kumfanya mwanaume ATI ndio atoe pesa au atoe Huduma Fulani. Kumbuka mwanaume ni Kama Mungu kamwe hashinikizwi Kwa kashfa. Ati umtukane ndio akupe. Kamwe!

Mwanaume au Baba anakuwa na Deni kubwa nafsini mwake pale anaposhukuriwa Kwa kidogo alichotoa wanaume wote duniani ndivyo tupo hivyo. Tunakuwa na Moyo wa kutoa zaidi pale tunaposhukuriwa.

5. KUMPANGIA BABA MATUMIZI
Wanaume au Baba anaweza kukusitishia Huduma endapo utakuwa mtu wa kumpangiapangia matumizi yake.
Kanuni ni Ileile, Usimpangie Baba matumizi, bali msapoti hata Kama unaona anatumia vibaya. Hiyo ndio namna ya kudili na watawala.😊😊

Baba anapoonyesha upendeleo usimuingilie Bali msapoti hapo unamfanya kuwa na deni kwako na atakuzingatia zaidi kuliko ukianza kumshinikiza. Kumbuka mwanaume hashinikizwi.

Mungu kama Role model wetu yeye anatoa baraka kwa Sisi watoto wake vile atakavyo, unaweza kumuona mtu Fulani umemzidi vigezo vingi lakini Mungu kambariki zaidi kuliko wewe. Usichukie wala usiwe na kinyongo 😊

Nimalize Kwa kutoa mfano katika kisa hiki Kutoka Kwa Yesu mnazareth;

Mathayo 20:1
Kwa maana ufalme wa mbinguni umefanana na mtu mwenye nyumba aliyetoka alfajiri kwenda kuajiri wakulima awapeleke katika shamba lake la mizabibu.

Mathayo 20:2
Naye alipokwisha kupatana na wakulima kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.

Mathayo 20:3
Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi;

Mathayo 20:4
na hao nao akawaambia, Enendeni nanyi katika shamba langu la mizabibu, na iliyo haki nitawapa. Wakaenda.

Mathayo 20:5
Akatoka tena mnamo saa sita na saa kenda, akafanya vile vile.

Mathayo 20:6
Hata kama saa kumi na moja akatoka, akakuta wengine wamesimama, akawaambia, Mbona mmesimama hapa mchana kutwa bila kazi?

Mathayo 20:7
Wakamwambia, Kwa sababu hakuna mtu aliyetuajiri. Akawaambia, enendeni nanyi katika shamba la mizabibu.

Mathayo 20:8
Kulipokuchwa, yule bwana wa shamba akamwambia msimamizi wake, Waite wakulima, uwalipe ujira wao, ukianzia wa mwisho hata wa kwanza.

Mathayo 20:9
Na walipokuja wale wa saa kumi na moja, walipokea kila mtu dinari.

Mathayo 20:10
Na wale wa kwanza walipokuja, walidhani kwamba watapokea zaidi; na hao pia wakapokea kila mtu dinari.

Mathayo 20:11
Basi wakiisha kuipokea, wakamnung’unikia mwenye nyumba,

Mathayo 20:12
wakisema, Hao wa mwisho wametenda kazi saa moja tu, nawe umewasawazisha na sisi tuliostahimili taabu na hari za mchana kutwa.

Mathayo 20:13
Naye akamjibu mmoja wao, akamwambia, Rafiki, sikudhulumu; hukupatana nami kwa dinari?

Mathayo 20:14
Chukua iliyo yako, uende zako; napenda kumpa huyu wa mwisho sawa na wewe.

Mathayo 20:15
Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu kama nipendavyo? Au jicho lako limekuwa ovu kwa sababu ya mimi kuwa mwema?

Sisi Kama Wanaume, hatuongozwi na Huruma Kwa Watu wasiotuheshimu, Bali tunaongozwa na Upendo na Haki Kwa wale wanaostahili na kutuheshimu

Wewe kuwa Mke au mtoto wangu haimaanishi chochote kwetu ikiwa hutuheshimu, husikilizi na kututii Kama Baba zako.

Wala hatubabaishwagi na maneno au kelele, au machozi au kilio, au kebehi, au dhihaka au maombelezo ya watu wasiotuheshimu.

Good morning Wanaume wote!

Ni Yule Baba yenu Mtibeli.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.
 
Apewe Ulinzi..

Screenshot_20220901-120700.png
 
Ni mtizamo tu.. ..

Unatakiwa kulea mtoto wako ,hayo mengine hayanihusu mtoto.

Maisha magumu .. ..

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app

Kinachomhusu mtoto ni nidhamu, usikivu na adabu. Hicho tuu.

Ukileta mbembembe! Utaonja joto ya jiwe.

Kama unajijua uwezo wa Kulea huna Kwa nini usimuachie Baba WA mtoto.
Hizi tabia za uking'ang'anizi ndizo zinatesa Watoto.

Huna uwezo wa kutunza unang'ng'ania.

Mtoto wa Mbali lazima akose baadhi ya Huduma hilo lipo wazi
 
Wanaume wasiotunza watoto wao wapo kibao na hawana sababu yoyote ya kueleweka wanakimbia tu majukumu.
 
Ulimpelekea Mtoto wake akae naye akashindwa kumtunza Mtoto wake?
Hajawahi hata kukubali kumchukua huyo mtoto hata kumuona tu hajawah taka na hatoi huduma yoyoye alafu yupo hapa hapa wala sio kwamba yupo mbali.
 
Uliwezaje kuzaa ña cherema?
Mlete mtoto tukusaidie kumlea.
Muwe mnaangalia na wanaume wa kuzaa nao,

Pole.
Hata hivyo shukuru Kwa yote
 
Kuna masimbe, magubegube na matoa huduma ya ngono yenye vidigrii na mengine vicert, matumishi ya gavoo na makampuni yanakuja kibeijing
 
Sijazaa mimi, hio issue ni ya dada yangu kabisa toka anapata ujauzito hadi sasa mtoto yupo chuo bwana ake kama hayupo vile hahudumii lolote. Aliondoka wakat mtoto bado mdogo kabisa akaja kurudi baada ya miaka 9 eti amuoe sis, sis akagoma akasema tayari ana mtu miaka yote alikua wapi kumbe alipokua alioa kabisa ndoa ikamshinda ndio akarudi huku. Dada alipogoma ndio akazidisha chuki.
Sasa mtu kama huyu ana sababu gani ya kutomuhudumia mwanae yaani upuuzi wake kauhamishia kwa mtoto na hapo hajawah toa hata buku mpaka mtoto anatimiza 22yrs.
 
NASISITIZA; HAKUNA MWANAUME ANAYEKATAA KUTUNZA WATOTO WAKE.

Anaandika Robert Heriel
Baba.

Hakuna Mwanaume anayekataa kutunza m/watoto wake. Hakuna mwanaume wa hivyo. Ikiwa Sisi wanaume tunatunza watoto wasio wetu, ndio ninyi Wake zetu, sembuse Watoto wetu WA kuwazaa wenyewe. Ikiwa wanaume tunaweza kuoa wanawake hata kumi na tukawatunza bila shida yoyote sembuse Watoto tuliowazaa Sisi wenyewe. Come on! Embu tuwe Sirius kidogo

Wanaume kiasili tunauungu ndani yetu, tuliumbwa tukapewa uungu ndani yetu na hilo ndilo Wanawake wanaloona ni tatizo kwao. Sisi ni miungu kitabia. Utake usitake, nafahamu wapo watu watakaobisha hasa Wale watu wenye Uelewa mdogo WA mambo.

Baba, kamwe hawezi kukataa kumtunza Mtoto wake. Never ever. Hakunaga Baba WA hivyo.
Ila zipo sababu zinazoweza kumfanya Baba akakataa kutunza watoto wake. Zingatia Hata mke ni sehemu ya watoto kwa Baba au mwanaume. Nazungumzia mwanaume kamili.

Zifuatazo ni sababu zinazopelekea Baba akakataa kumtunza Mtoto/watoto

1. MKE NA WATOTO KUKOSA UTII KWA BABA
Nature ya binadamu ipo wazi Kabisa. Mwanaume anapenda kuheshimiwa, kutiiwa, kunyenyekewa, kusikilizwa hata Kama yupo wrong. Hiyo ni kanuni Kwa Watawala wote Duniani. Zingatia Mwanaume kiasili ni Mtawala.
Mtawala yeyote anapenda kuheshimiwa, kutiiwa hata kama amekosea. Ukijifanya unabishana na mjuaji Kwa watawala basi tegemea maumivu. Hiyo hata kwenye ngazi ya familia ni hivyohivyo.

Mwanaume anayohaki na wajibu ya kumuadhibu mtu asiyejitambua nafasi yake/asiyemheshimu.
Baba anaweza kusitisha Huduma NYUMBANI kama hamumheshimu, ikiwezekana akawafukuza wote.

Mungu kama Baba Mkuu ndiye Role model wa wanaume wote. adamu na Hawa walipoonyesha Dharau, wakamvunjia heshima yake Kama Baba wakala matunda waliyoagizwa wasiyale, Aliwafukuza Bustani ya Edeni, tena atakatoa na adhabu ya Kifo, na kuishi maisha ya dhiki, huku tukila Kwa jasho.

Baba asiyeheshimiwa alafu akawa anaendelea kutoa huduma Kama awali anakosa vigezo vya kuitwa Baba, kwamba anahofu, hajiamini, na pia amejidharau.

Wanaume wote Sisi ni mashahidi, wengi wetu hakuna tutakachokipata Kwa Kulea Watoto wetu hawa. Wengi watashikamana na Mama zao pindi tukiwa Wazee. Tena watoto wengine watatugeukia na kutaka kutuua ili wagawane Mali tulizozichuma.

Baba tunapolea na kutunza Wake zetu, ni Kwa sababu ya upendo tulionao kwao. Na sio kwamba tunakitu tunatarajia kutoka kwao. Na Baba yeyote anayetegemea kurudishiwa Fadhila Kwa kuwalea watoto namhakikishia atavuna maumivu tuu.
Fanya Kama Baba, Baba ni chanzo, Provider, na kamwe Baba hatakiwa kutegemea Malipo.

Mtoto ukikosa Adabu, au mke akikosa adabu ni halali ya mwanaume kumuadhibu Kwa Kupunguza matumizi au Huduma. Ikiwezekana kumfukuza kabisa.

Wanaume wenzangu, hasa Vijana mliozaliwa miaka hii. Msiogope na wala msisite kushughulika na Mke au Watoto wasiokuheshimu.

Watoto au mke asiyemheshimu mume ni Sawa na Wananchi wasioheshimu Mamlaka za serikali. Lazima washughulikiwe kivyovyote vile bila kujali Nani atasema.

2. KUTUMIA MALI AU FEDHA VIBAYA. UBADHIRIFU WA MALI
Mke kaomba pesa Fulani labda tuseme Ada. Mtoto aende chuo au shule, akatamka Tsh 2M, alafu unakuja kusikia mtoto hajaenda shule au kapelekwa Shule yenye Ada ya Tsh 1M. Au anatoa sababu zisizoeleweka.
Au katumia katika matumizi ya kijinga. Mwanaume Kama Baba, anayethamini jasho lake, kazi ni kipimo cha UTU. Kama mtu anachezea pesa zilizozalishwa na kazi yako. Ni kwamba hathamini utu wako.

Mwanaume anayomamlaka ya kutotoa Huduma hiyo Kwa muda ili iwe funzo. Hii ni Sawa na mtoto anayekula Ada, Baba anauwezo WA kumpumzisha hata mwaka mzima bila kusoma ili ajifunze.

Baba hautakiwi uwe unachapa chapa au kupigapiga. Bali adhabu zako ziwe za kufundisha ili mtoto ajifunze.

3. KUTENGANA AU KUTALAKIANA
Baba anayohaki ya Kupunguza Kama sio kuacha kabisa kutoa Huduma Kwa mwanamke aliyetengana naye.
Kuhusu kuhudumia watoto Inategemea na vile mtoto alivyo,

Kanuni inasema,
Miti iliyokaribu na MTO wa Maji ndio yenye kustawi na kunawiri; Pia Moto iliyombali na MTO wa Maji haiwezi kustawi na kunawiri vizuri ukilinganisha na Ile iliyopo karibu na maji.
Pia Maji hayafuati Miri isipokuwa Mizizi ya Miti ndio hufuata Maji ya MTO.

Kadiri mtoto anavyowekwa mbal na Baba yake ndivyo anavyokosa na kupoteza baadhi ya Haki zake.
Na kadiri mtoto anavyokuwa karibu na Baba yake ndivyo anavyopata Favour nyingi zaidi.

Nilieleza kuwa Kuna baraka za mbali Kwa waliombali. Na kuna baraka za karibu Kwa waliokaribu.
Taikon napendekeza kama Mwanamke hujiwezi Sana kiuchumi na unashindwa kumhudumia mtoto wako ni Bora umpeleke Kwa Baba yake. Vinginevyo lazima ukubaliane na uhalisia wa nature ilivyo.
Au uendelee kumheshimu na kuwa kama mwanamke unapowasiliana na Mzazi mwenzio.

Vinginevyo hakuna sheria yoyote duniani ya kupindua sheria za Asili.
Hata wasomi wake watunge Sheria za kumlazimisha Baba atoe matumizi yake kilazima, atatoe Yale yaliyokwenye ulazima lakini mtoto atakosa baadhi ya vitu vingine ambavyo watoto wenzake wa Baba yake wanavipata.

Kwa mwanaume heshima yake ndio Jambo la Kwanza baada ya Uhai wake. Kisha ndio ifuate familia yake. Sio familia ivunje heshima ya mwanaume alafu mwanaume achekecheke hilo halipo.

4. KUTOKUSHUKURU

Mwanaume anaweza kataa kutoa Huduma Kama anatoa Huduma Kwa mtu au mtoto asiyeshukuru.
Kutokushukuru tafsiri yake ni Dharau, kutokuthamini nguvu yake na riziki ndogo aliyopewa na MUNGU.
Kumbuka hata Mungu kama Role model wa wanaume wote duniani, usiposhukuru Kwa kidogo anachokupa basi sio ajabu akasitisha hata mambo mengine aliyopanga kukupa.

Lawama na matusi hayajawahi kumfanya mwanaume ATI ndio atoe pesa au atoe Huduma Fulani. Kumbuka mwanaume ni Kama Mungu kamwe hashinikizwi Kwa kashfa. Ati umtukane ndio akupe. Kamwe!

Mwanaume au Baba anakuwa na Deni kubwa nafsini mwake pale anaposhukuriwa Kwa kidogo alichotoa wanaume wote duniani ndivyo tupo hivyo. Tunakuwa na Moyo wa kutoa zaidi pale tunaposhukuriwa.

5. KUMPANGIA BABA MATUMIZI
Wanaume au Baba anaweza kukusitishia Huduma endapo utakuwa mtu wa kumpangiapangia matumizi yake.
Kanuni ni Ileile, Usimpangie Baba matumizi, bali msapoti hata Kama unaona anatumia vibaya. Hiyo ndio namna ya kudili na watawala.[emoji4][emoji4]

Baba anapoonyesha upendeleo usimuingilie Bali msapoti hapo unamfanya kuwa na deni kwako na atakuzingatia zaidi kuliko ukianza kumshinikiza. Kumbuka mwanaume hashinikizwi.

Mungu kama Role model wetu yeye anatoa baraka kwa Sisi watoto wake vile atakavyo, unaweza kumuona mtu Fulani umemzidi vigezo vingi lakini Mungu kambariki zaidi kuliko wewe. Usichukie wala usiwe na kinyongo [emoji4]

Nimalize Kwa kutoa mfano katika kisa hiki Kutoka Kwa Yesu mnazareth;

Mathayo 20:1
Kwa maana ufalme wa mbinguni umefanana na mtu mwenye nyumba aliyetoka alfajiri kwenda kuajiri wakulima awapeleke katika shamba lake la mizabibu.

Mathayo 20:2
Naye alipokwisha kupatana na wakulima kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.

Mathayo 20:3
Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi;

Mathayo 20:4
na hao nao akawaambia, Enendeni nanyi katika shamba langu la mizabibu, na iliyo haki nitawapa. Wakaenda.

Mathayo 20:5
Akatoka tena mnamo saa sita na saa kenda, akafanya vile vile.

Mathayo 20:6
Hata kama saa kumi na moja akatoka, akakuta wengine wamesimama, akawaambia, Mbona mmesimama hapa mchana kutwa bila kazi?

Mathayo 20:7
Wakamwambia, Kwa sababu hakuna mtu aliyetuajiri. Akawaambia, enendeni nanyi katika shamba la mizabibu.

Mathayo 20:8
Kulipokuchwa, yule bwana wa shamba akamwambia msimamizi wake, Waite wakulima, uwalipe ujira wao, ukianzia wa mwisho hata wa kwanza.

Mathayo 20:9
Na walipokuja wale wa saa kumi na moja, walipokea kila mtu dinari.

Mathayo 20:10
Na wale wa kwanza walipokuja, walidhani kwamba watapokea zaidi; na hao pia wakapokea kila mtu dinari.

Mathayo 20:11
Basi wakiisha kuipokea, wakamnung’unikia mwenye nyumba,

Mathayo 20:12
wakisema, Hao wa mwisho wametenda kazi saa moja tu, nawe umewasawazisha na sisi tuliostahimili taabu na hari za mchana kutwa.

Mathayo 20:13
Naye akamjibu mmoja wao, akamwambia, Rafiki, sikudhulumu; hukupatana nami kwa dinari?

Mathayo 20:14
Chukua iliyo yako, uende zako; napenda kumpa huyu wa mwisho sawa na wewe.

Mathayo 20:15
Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu kama nipendavyo? Au jicho lako limekuwa ovu kwa sababu ya mimi kuwa mwema?

Sisi Kama Wanaume, hatuongozwi na Huruma Kwa Watu wasiotuheshimu, Bali tunaongozwa na Upendo na Haki Kwa wale wanaostahili na kutuheshimu

Wewe kuwa Mke au mtoto wangu haimaanishi chochote kwetu ikiwa hutuheshimu, husikilizi na kututii Kama Baba zako.

Wala hatubabaishwagi na maneno au kelele, au machozi au kilio, au kebehi, au dhihaka au maombelezo ya watu wasiotuheshimu.

Good morning Wanaume wote!

Ni Yule Baba yenu Mtibeli.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.
Unaandika Risala ndefu sana wakati hujui maana ya maisha ni safari

Inaonekana wewe upo below 40 years of age

Ndoa na maisha kuna kuchokana Halafu unakuta kile kilochokufanya umuoe au uolewe hakipo tena kwa huyo mtu bali unakipata kwa mchepuko nje

Wewe hujui practical na hujaishi field ya ndoa hata kwa miaka 20

Watu wanabadilika tabia kila wakati na kila siku

Hakuna mtu anayepanga kukimbia mtoto wake au mke lakini tabia na mzingira

Ukitaka kuishi vizuri na mke au Mume wewe jifanye mpumbavu, mjinga na bwege lakini ukijifanya unauliza kila kitu na kuhoji hoji mambo ya mke au Mume ndoa inakufa mapema sana

Hata ukimfumania mke live wewe kaa kimya msamehe kimya kimya endelea na ndoa

Hata ukikuta mmeo analiwa tigo, Wewe kaa kimya samehe hapo utashinda

Usiulize ulize mambo au kuchokonoa vitu jifanye Fara, mjinga na mpuuzi
 
Kuna masimbe, magubegube na matoa huduma ya ngono yenye vidigrii na mengine vicert, matumishi ya gavoo na makampuni yanakuja kibeijing
Dah umenivunja mbavu[emoji16][emoji16][emoji16] ila maisha Yana Siri nzito kikubwa mwanamke azae idad atakayoimudu Dunia imebadirika sana
 
NASISITIZA; HAKUNA MWANAUME ANAYEKATAA KUTUNZA WATOTO WAKE.

Anaandika Robert Heriel
Baba.

Hakuna Mwanaume anayekataa kutunza m/watoto wake. Hakuna mwanaume wa hivyo. Ikiwa Sisi wanaume tunatunza watoto wasio wetu, ndio ninyi Wake zetu, sembuse Watoto wetu WA kuwazaa wenyewe. Ikiwa wanaume tunaweza kuoa wanawake hata kumi na tukawatunza bila shida yoyote sembuse Watoto tuliowazaa Sisi wenyewe. Come on! Embu tuwe Sirius kidogo

Wanaume kiasili tunauungu ndani yetu, tuliumbwa tukapewa uungu ndani yetu na hilo ndilo Wanawake wanaloona ni tatizo kwao. Sisi ni miungu kitabia. Utake usitake, nafahamu wapo watu watakaobisha hasa Wale watu wenye Uelewa mdogo WA mambo.

Baba, kamwe hawezi kukataa kumtunza Mtoto wake. Never ever. Hakunaga Baba WA hivyo.
Ila zipo sababu zinazoweza kumfanya Baba akakataa kutunza watoto wake. Zingatia Hata mke ni sehemu ya watoto kwa Baba au mwanaume. Nazungumzia mwanaume kamili.

Zifuatazo ni sababu zinazopelekea Baba akakataa kumtunza Mtoto/watoto

1. MKE NA WATOTO KUKOSA UTII KWA BABA
Nature ya binadamu ipo wazi Kabisa. Mwanaume anapenda kuheshimiwa, kutiiwa, kunyenyekewa, kusikilizwa hata Kama yupo wrong. Hiyo ni kanuni Kwa Watawala wote Duniani. Zingatia Mwanaume kiasili ni Mtawala.
Mtawala yeyote anapenda kuheshimiwa, kutiiwa hata kama amekosea. Ukijifanya unabishana na mjuaji Kwa watawala basi tegemea maumivu. Hiyo hata kwenye ngazi ya familia ni hivyohivyo.

Mwanaume anayohaki na wajibu ya kumuadhibu mtu asiyejitambua nafasi yake/asiyemheshimu.
Baba anaweza kusitisha Huduma NYUMBANI kama hamumheshimu, ikiwezekana akawafukuza wote.

Mungu kama Baba Mkuu ndiye Role model wa wanaume wote. adamu na Hawa walipoonyesha Dharau, wakamvunjia heshima yake Kama Baba wakala matunda waliyoagizwa wasiyale, Aliwafukuza Bustani ya Edeni, tena atakatoa na adhabu ya Kifo, na kuishi maisha ya dhiki, huku tukila Kwa jasho.

Baba asiyeheshimiwa alafu akawa anaendelea kutoa huduma Kama awali anakosa vigezo vya kuitwa Baba, kwamba anahofu, hajiamini, na pia amejidharau.

Wanaume wote Sisi ni mashahidi, wengi wetu hakuna tutakachokipata Kwa Kulea Watoto wetu hawa. Wengi watashikamana na Mama zao pindi tukiwa Wazee. Tena watoto wengine watatugeukia na kutaka kutuua ili wagawane Mali tulizozichuma.

Baba tunapolea na kutunza Wake zetu, ni Kwa sababu ya upendo tulionao kwao. Na sio kwamba tunakitu tunatarajia kutoka kwao. Na Baba yeyote anayetegemea kurudishiwa Fadhila Kwa kuwalea watoto namhakikishia atavuna maumivu tuu.
Fanya Kama Baba, Baba ni chanzo, Provider, na kamwe Baba hatakiwa kutegemea Malipo.

Mtoto ukikosa Adabu, au mke akikosa adabu ni halali ya mwanaume kumuadhibu Kwa Kupunguza matumizi au Huduma. Ikiwezekana kumfukuza kabisa.

Wanaume wenzangu, hasa Vijana mliozaliwa miaka hii. Msiogope na wala msisite kushughulika na Mke au Watoto wasiokuheshimu.

Watoto au mke asiyemheshimu mume ni Sawa na Wananchi wasioheshimu Mamlaka za serikali. Lazima washughulikiwe kivyovyote vile bila kujali Nani atasema.

2. KUTUMIA MALI AU FEDHA VIBAYA. UBADHIRIFU WA MALI
Mke kaomba pesa Fulani labda tuseme Ada. Mtoto aende chuo au shule, akatamka Tsh 2M, alafu unakuja kusikia mtoto hajaenda shule au kapelekwa Shule yenye Ada ya Tsh 1M. Au anatoa sababu zisizoeleweka.
Au katumia katika matumizi ya kijinga. Mwanaume Kama Baba, anayethamini jasho lake, kazi ni kipimo cha UTU. Kama mtu anachezea pesa zilizozalishwa na kazi yako. Ni kwamba hathamini utu wako.

Mwanaume anayomamlaka ya kutotoa Huduma hiyo Kwa muda ili iwe funzo. Hii ni Sawa na mtoto anayekula Ada, Baba anauwezo WA kumpumzisha hata mwaka mzima bila kusoma ili ajifunze.

Baba hautakiwi uwe unachapa chapa au kupigapiga. Bali adhabu zako ziwe za kufundisha ili mtoto ajifunze.

3. KUTENGANA AU KUTALAKIANA
Baba anayohaki ya Kupunguza Kama sio kuacha kabisa kutoa Huduma Kwa mwanamke aliyetengana naye.
Kuhusu kuhudumia watoto Inategemea na vile mtoto alivyo,

Kanuni inasema,
Miti iliyokaribu na MTO wa Maji ndio yenye kustawi na kunawiri; Pia Moto iliyombali na MTO wa Maji haiwezi kustawi na kunawiri vizuri ukilinganisha na Ile iliyopo karibu na maji.
Pia Maji hayafuati Miri isipokuwa Mizizi ya Miti ndio hufuata Maji ya MTO.

Kadiri mtoto anavyowekwa mbal na Baba yake ndivyo anavyokosa na kupoteza baadhi ya Haki zake.
Na kadiri mtoto anavyokuwa karibu na Baba yake ndivyo anavyopata Favour nyingi zaidi.

Nilieleza kuwa Kuna baraka za mbali Kwa waliombali. Na kuna baraka za karibu Kwa waliokaribu.
Taikon napendekeza kama Mwanamke hujiwezi Sana kiuchumi na unashindwa kumhudumia mtoto wako ni Bora umpeleke Kwa Baba yake. Vinginevyo lazima ukubaliane na uhalisia wa nature ilivyo.
Au uendelee kumheshimu na kuwa kama mwanamke unapowasiliana na Mzazi mwenzio.

Vinginevyo hakuna sheria yoyote duniani ya kupindua sheria za Asili.
Hata wasomi wake watunge Sheria za kumlazimisha Baba atoe matumizi yake kilazima, atatoe Yale yaliyokwenye ulazima lakini mtoto atakosa baadhi ya vitu vingine ambavyo watoto wenzake wa Baba yake wanavipata.

Kwa mwanaume heshima yake ndio Jambo la Kwanza baada ya Uhai wake. Kisha ndio ifuate familia yake. Sio familia ivunje heshima ya mwanaume alafu mwanaume achekecheke hilo halipo.

4. KUTOKUSHUKURU

Mwanaume anaweza kataa kutoa Huduma Kama anatoa Huduma Kwa mtu au mtoto asiyeshukuru.
Kutokushukuru tafsiri yake ni Dharau, kutokuthamini nguvu yake na riziki ndogo aliyopewa na MUNGU.
Kumbuka hata Mungu kama Role model wa wanaume wote duniani, usiposhukuru Kwa kidogo anachokupa basi sio ajabu akasitisha hata mambo mengine aliyopanga kukupa.

Lawama na matusi hayajawahi kumfanya mwanaume ATI ndio atoe pesa au atoe Huduma Fulani. Kumbuka mwanaume ni Kama Mungu kamwe hashinikizwi Kwa kashfa. Ati umtukane ndio akupe. Kamwe!

Mwanaume au Baba anakuwa na Deni kubwa nafsini mwake pale anaposhukuriwa Kwa kidogo alichotoa wanaume wote duniani ndivyo tupo hivyo. Tunakuwa na Moyo wa kutoa zaidi pale tunaposhukuriwa.

5. KUMPANGIA BABA MATUMIZI
Wanaume au Baba anaweza kukusitishia Huduma endapo utakuwa mtu wa kumpangiapangia matumizi yake.
Kanuni ni Ileile, Usimpangie Baba matumizi, bali msapoti hata Kama unaona anatumia vibaya. Hiyo ndio namna ya kudili na watawala.[emoji4][emoji4]

Baba anapoonyesha upendeleo usimuingilie Bali msapoti hapo unamfanya kuwa na deni kwako na atakuzingatia zaidi kuliko ukianza kumshinikiza. Kumbuka mwanaume hashinikizwi.

Mungu kama Role model wetu yeye anatoa baraka kwa Sisi watoto wake vile atakavyo, unaweza kumuona mtu Fulani umemzidi vigezo vingi lakini Mungu kambariki zaidi kuliko wewe. Usichukie wala usiwe na kinyongo [emoji4]

Nimalize Kwa kutoa mfano katika kisa hiki Kutoka Kwa Yesu mnazareth;

Mathayo 20:1
Kwa maana ufalme wa mbinguni umefanana na mtu mwenye nyumba aliyetoka alfajiri kwenda kuajiri wakulima awapeleke katika shamba lake la mizabibu.

Mathayo 20:2
Naye alipokwisha kupatana na wakulima kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.

Mathayo 20:3
Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi;

Mathayo 20:4
na hao nao akawaambia, Enendeni nanyi katika shamba langu la mizabibu, na iliyo haki nitawapa. Wakaenda.

Mathayo 20:5
Akatoka tena mnamo saa sita na saa kenda, akafanya vile vile.

Mathayo 20:6
Hata kama saa kumi na moja akatoka, akakuta wengine wamesimama, akawaambia, Mbona mmesimama hapa mchana kutwa bila kazi?

Mathayo 20:7
Wakamwambia, Kwa sababu hakuna mtu aliyetuajiri. Akawaambia, enendeni nanyi katika shamba la mizabibu.

Mathayo 20:8
Kulipokuchwa, yule bwana wa shamba akamwambia msimamizi wake, Waite wakulima, uwalipe ujira wao, ukianzia wa mwisho hata wa kwanza.

Mathayo 20:9
Na walipokuja wale wa saa kumi na moja, walipokea kila mtu dinari.

Mathayo 20:10
Na wale wa kwanza walipokuja, walidhani kwamba watapokea zaidi; na hao pia wakapokea kila mtu dinari.

Mathayo 20:11
Basi wakiisha kuipokea, wakamnung’unikia mwenye nyumba,

Mathayo 20:12
wakisema, Hao wa mwisho wametenda kazi saa moja tu, nawe umewasawazisha na sisi tuliostahimili taabu na hari za mchana kutwa.

Mathayo 20:13
Naye akamjibu mmoja wao, akamwambia, Rafiki, sikudhulumu; hukupatana nami kwa dinari?

Mathayo 20:14
Chukua iliyo yako, uende zako; napenda kumpa huyu wa mwisho sawa na wewe.

Mathayo 20:15
Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu kama nipendavyo? Au jicho lako limekuwa ovu kwa sababu ya mimi kuwa mwema?

Sisi Kama Wanaume, hatuongozwi na Huruma Kwa Watu wasiotuheshimu, Bali tunaongozwa na Upendo na Haki Kwa wale wanaostahili na kutuheshimu

Wewe kuwa Mke au mtoto wangu haimaanishi chochote kwetu ikiwa hutuheshimu, husikilizi na kututii Kama Baba zako.

Wala hatubabaishwagi na maneno au kelele, au machozi au kilio, au kebehi, au dhihaka au maombelezo ya watu wasiotuheshimu.

Good morning Wanaume wote!

Ni Yule Baba yenu Mtibeli.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.
Uzi wako una mu oppose yule mdada .
 
Back
Top Bottom