Nasisitiza: Hakuna Mwanaume anayekataa Kumtunza Mtoto wake! Hakuna

Wanaume wasiotunza watoto wao wapo kibao na hawana sababu yoyote ya kueleweka wanakimbia tu majukumu.
Sio kweli wanawake wengi wanakuwa chanzo kikubwa Cha baba kukimbia na mifano ipo mingi na baba anaamua kukimbia
 
Hapo ndio iwe fundisho kwako kuangalia wanaume halisi wenye mfumo Dume.
Wacha Mungu, wenye akili.
Vinginevyo ukiendekeza tamaa kisa mwanaume anapesa au anasifa za kutuliza matamanio yako ya kimwili matokeo yake ndio hayo.
 
Sio kweli wanawake wengi wanakuwa chanzo kikubwa Cha baba kukimbia na mifano ipo mingi na baba anaamua kukimbia
Umeshasema "wengi" ina maana sio wote.
 
Hapo ndio iwe fundisho kwako kuangalia wanaume halisi wenye mfumo Dume.
Wacha Mungu, wenye akili.
Vinginevyo ukiendekeza tamaa kisa mwanaume anapesa au anasifa za kutuliza matamanio yako ya kimwili matokeo yake ndio hayo.
Sawa
 
😂😂🤣🤣🤣🤣😂. Unazingua mkuu
 
Kuna kitu nimegundua kupitia huu uzi
 
Ongezea kwenye kichwa chako: Mwanaume mwenye hekima na busara:Au:Mwanaume mwenye akili na anayejitambua.
Siyo kila 'mwanaume' ni mwanaume.

Nb 1: Maandiko yako mengi yamejikita zaidi katika mfumo dume( Mwanamke ni kiumbe dhaifu): Nafikiri una tatizo zaidi la kisaikolojia kuhusu wanawake.

Nb 2: Dhana ya 'uungu' ni mwendelezo wa kumkandamiza mwanamke. Waandishi (wasimuliaji) wa vitabu vinavyoitwa 'vitakatifu' wote walikuwa kwenye jamii iliyokuwa inamdidimiza mwanamke kwa nyakati hizo.

Nb 3 :Je,Unafahamu kuwa kuna imani nyingine zinatambua na kuamini dhana ya ' uungu' wa mwanamke??

Nb 4😛enda zaidi kujielimisha, kujifunza,kusoma,kusikiliza n.k: Hii itakufanya uwe na mtazamo mwingine kuhusu mwanamke.(Mama yako,shangazi,dada zako n.k wakiwemo)
 
Mwanamke ni mungu ndio hata Mimi Nakubali.
 
Inabaki pale pale..

Kila mzazi atimize wajibu wake..

Mengine mtajuana wewe na baba mtoto wako ..,maana hapo Kuna mengi na visa vingi ..Tena pande zote.. ..
Mtoto apewe haki zake .hamna mama Wala baba.. ..

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Hajawahi hata kukubali kumchukua huyo mtoto hata kumuona tu hajawah taka na hatoi huduma yoyoye alafu yupo hapa hapa wala sio kwamba yupo mbali.
inawezekana kuna namna amehisi mtoto huyo sio wake
 
inawezekana kuna namna amehisi mtoto huyo sio wake
Weee mtoto ukimuona copy ya mzee hamna haja ya DNA, yule baba ni mpuuzi tu hana sababu yoyote ya maana.
 
inawezekana kuna namna amehisi mtoto huyo sio wake
Alafu kuhisi mtoto sio wake ndio akatae kulea kwa nini asiende kufanya vipimo na mtu alikua anajipimia kavu kavu? tabia mbaya sana kukataa watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…