Hahaaaaa kwa hio wanaofurahia watoto wao kuoa single mothers wameathirika kisaikolojia ila nyie msiofurahia ndio wazima????
Eti huyo mzazi hayupo...unavyosema for certainty, bye, SUCKER!
Narudia tena na tena
Hakuna huyo mzazi mwenye akili timamu ambaye atafurahia kumwona Kijana wake mdogo Kabisa ndio katoka Chuo au hata hajafikisha Miaka 40, ndio ndoa yake ya Kwanza alafu Kijana alete single mother, mzazi afurahie. Hayupo huyo Mzazi.
Labda kama hujui Maana ya Mzazi.
Au awe mzazi asiyejitambua. Au awe anamatatizo niliyoyataja Kule Juu.
Hakuna asiyejua Ndoa inachangamoto nyingi Sana.
Sasa kijana mdogo kuoa tena Single mother hakuna mzazi ambaye atafurahia Jambo hilo kwani wanajua nini Kinaenda kutokea kwenye maisha ya huyo kijana.
Zingatia, aliyefiwa na Mume hayupo kundi la single mother
Single mothers wanahitaji mwanaume aliyekomaa, mtu mzima, ambaye alishawahi kuwa na familia, Mzee n.k.
Hayo Mengine unayosema ni chuki utajua mwenyewe. Ila kwa ground tunaona kinachoendelea.
Hutaki kuwa single mother USIKUBALI kuzaa kabla hujaolewa.
Chagua mwanaume sahihi ili kuepuka Talaka.
Vinginevyo, utaendelea kuona wanawake wanachukiwa kumbe ndio uhalisia.