jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Mkuu kumzalisha Single mother ni sawa umemuoa kwasababu itakubidi ulee mtoto na kama ana jumla ya watoto watatu na wako ni mmoja hapo sawa una watoto watatu kwasababu itakua unawalea wote kimfumo, Maana ukituma pesa za Vifaa vya shule na Uniform lazima mwanao ata dhulumiwa tu mfano umetuma pesa annulled Uniform pea nne hata nunuliwa zote atanunuliwa pea moja na nyingine watapewa ndugu zake.Je kufanya single mother ni mpango kando yaani mchepuko wa kudumu, kumzalisha watoto nk ila ndoa hapana