Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Kama unavua chupi hovyo... utampataje mwanaume muaminifu?lakini huko mbeleni,kama hutaki single maza basi kuoa hutaweza tena maana kuzaa sasa ni simple tu,yaan kama fasheniiii,katoto kadoogo shwaaa tayar,sasa hadi kufikia umri wa kuolewa..........
kwanza mtuache tuzae kabla p2 hazijaozesha vizazi tuje tulie upweke huko miaka 30, wanaume waaminifu tukose,sasa na hata watoto jamaniiiii aaaah msitufanyie ivoooo.....
mzee, vijana sio waaminifu hata usipovua chupi ovyo,,mi naamini kuoana sio lazima mvae suti na shela/ra sjui,, vijana wapo tayar waje kwa wazazi watoe posa kama na uwezo wa mali anatoa,,mnapewa baraka mnaenda kuishi.Kama unavua chupi hovyo... utampataje mwanaume muaminifu?
Hahaaa eti humu wataendelea kusema mpaka kiama, sema wewe narcissistic idiot ndio utaendelea kusema na wajinga wenzio mnaoshare character ndio mtaendelea kupayuka humu.....nyooo huoni hii post inavyoleta chuki kwa Wanawake, vaa miwani utaona pumbafu! By the way sijasema hili kutokana na hii topic peke yake sijajiunga JF jana kujua wewe mpuuzi ukileta topic kuhusu wanawake ujue ni ya kuwaumiza tu.......unaongelea single mothers mpumbavu wewe tangia uanze vita na single mothers wewe BINAFSI umeachieve nini ukiulizwa???..single mothers wamepungua???? Hawajaolewa??? Toa STATISTICS zako...?! Nakuuliza u QUANTIFY ulichoachieve humu....the answer is umeachieve NOTHING which means mashudu yako kuhusu wanawake single mothers, ni njia ya wewe na narcissistic idiots wenzio kupata gratification mbwa nyie.
Eti dawa ulizonipa, zipi hizo??? Wewe unaweza kumpa dawa mkeo tu, nae kwa sababu ni mjinga! Miaka yote ameshindwa kutambua anaishi na li narcissist sorry Limbwa!Pole Sana Rebecca.
Dawa nilizokupa Kipindi kile naona umeziacha ugonjwa umekurudia tena.
Mbwa anatabia nyingi
Mojawapo ni kuzalishwa na madume wengi.
Labda useme wanaume zako waliokuzalisha ndio mbwa
Eti dawa ulizonipa, zipi hizo??? Wewe unaweza kumpa dawa mkeo tu, nae kwa sababu ni mjinga! Miaka yote ameshindwa kutambua anaishi na li narcissist sorry Limbwa!
Kijana wangu ataoa mwanamke anayempenda, single mother or not, kwa hio Kijana wako akilleta single mother utamshoot?! Proof you are narcissistic bastard! Eti ukweli, upi huo? IdiotHiyo haina maana yoyote na haiondoi ukweli kuwa hata wewe huwezi kumwombea mtoto wako aoe single Mother tena Akiwa kijana mdogo Kabisa.
Huo ndio ukweli ndio maana unakuuma na sukari yako imepanda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahEti dawa ulizonipa, zipi hizo??? Wewe unaweza kumpa dawa mkeo tu, nae kwa sababu ni mjinga! Miaka yote ameshindwa kutambua anaishi na li narcissist sorry Limbwa!
Kijana wangu ataoa mwanamke anayempenda, single mother or not, kwa hio Kijana wako akilleta single mother utamshoot?! Proof you are narcissistic bustard! Eti ukweli, upi huo? Idiot
Semea nafsi yako, sio wazazi wote wanachukia wanawake kama wewe. Eti hakuna mzazi atakayefurahia...wewe umejuaje hili kama sio assumptions zako tu?!Huyo hawezi kuwa kijana wangu Mkuu.
Labda akifikisha umri wa UTU uzima Sana. Alishaoa,
Anaongeza Mke wa pili,
Au amekuwa Mgane
Narudia, hakuna Baba au Mama mwenye kili timamu ambaye atafurahia na kuridhia kwa moyo mkunjufu kijana wake mdogo from the fresh aoe Single mother. Huyo mzazi hayupo chini ya Jua.
Vinginevyo awe Mgonjwa au anatumia madawa makali au vilevi vilivyoharibu Akili
Semea nafsi yako, sio wazazi wote wanachukia wanawake kama wewe. Eti hakuna mzazi atakayefurahia...wewe umejuaje hili kama sio assumptions zako tu?!
Hahaaaaa kwa hio wanaofurahia watoto wao kuoa single mothers wameathirika kisaikolojia ila nyie msiofurahia ndio wazima kiakili????Nimesema mzazi mwenye akili timamu.
Sijasema hakuna mzazi pekee.
Wapo watu wameathirika kisaikolojia kutokana na pombe Kali, madawa ya makali ya Magonjwa, madawa ya kulevya, na Umaskini wa kifamilia.
Lakini kwa Watu wenye Akili timamu, hiyo Kitu huwezi hata kuiwaza achilia mbali kuifanya
Au uruhusu kijana wako mdogo ati aanze maisha yake ya ndoa na mwanamke mwenye mtoto wakati wanawake wabichi wapo.
Huyo mzazi hayupo.
Hahaaaaa kwa hio wanaofurahia watoto wao kuoa single mothers wameathirika kisaikolojia ila nyie msiofurahia ndio wazima????
Eti huyo mzazi hayupo...unavyosema for certainty, bye, SUCKER!
Nakuzoom , wanaume waaminifu wa nini sasa?ππlakini huko mbeleni,kama hutaki single maza basi kuoa hutaweza tena maana kuzaa sasa ni simple tu,yaan kama fasheniiii,katoto kadoogo shwaaa tayar,sasa hadi kufikia umri wa kuolewa..........
kwanza mtuache tuzae kabla p2 hazijaozesha vizazi tuje tulie upweke huko miaka 30, wanaume waaminifu tukose,sasa na hata watoto jamaniiiii aaaah msitufanyie ivoooo.....
Ukweli wewe bado ni mtoto unamada za kitoto sanaKama unachoongea ni kweli embu eleza ni Kwa namna gani post hii imeonyesha chuki kwa Wanawake.
1. Kwamba kwenye jamii zote duniani single mother sio tatizo?
2. Kwamba single mothers hawawasiliani na Wanaume waliozaa nao Jambo ambalo waume Zao inawapa kero na usumbufu Mkubwa?
3. Kwamba mtoto wa single mother sio wako kama hukumzaa wewe?
Kuhusu hayo maelezo yako mengine yapo juu yako MWENYEWE na ukoo wenu na watoto wenu.
Ukizaa watoto wako waambie kuwa Single mother ni Jambo jema na linalokubqlikq kwenye jamii. Lakini humu na sehemu zingine wataendelea kusema Maneno hayahaya Mpaka kiama.
Huyo jamaa ni mtoto sana ana mada za kitoto sana na life experience yake ni ndogo sana akikua ataachaHahaaa eti humu wataendelea kusema mpaka kiama, sema wewe narcissistic idiot ndio utaendelea kusema na wajinga wenzio mnaoshare character ndio mtaendelea kupayuka humu.....nyooo huoni hii post inavyoleta chuki kwa Wanawake, vaa miwani utaona pumbafu! By the way sijasema hili kutokana na hii topic peke yake sijajiunga JF jana kujua wewe mpuuzi ukileta topic kuhusu wanawake ujue ni ya kuwaumiza tu.......unaongelea single mothers mpumbavu wewe tangia uanze vita na single mothers wewe BINAFSI umeachieve nini ukiulizwa???..single mothers wamepungua???? Hawajaolewa??? Toa STATISTICS zako...?! Nakuuliza u QUANTIFY ulichoachieve humu....the answer is umeachieve NOTHING which means mashudu yako kuhusu wanawake single mothers, ni njia ya wewe na narcissistic idiots wenzio kupata gratification mbwa nyie.
Mkuu ukiona hivyo anachokitaka hakipo.Unakuta mwanaume hataki single mothers na hataki kuoa ila anataka kuzalisha na kuacha ποΈ
Single mothers wengi ni matokea ya Wanake kujifanya wanajua na ubishi kukataa kuwasikiliza wazazi na Kaka zao. Kuna Single Mother nilikua napiga nae story ilikuaje akazalishwa nje ya ndoa, Yeye akasema kipindi cha Corona alipunguzwa kazini sasa akarudi Nyumbani kwao sasa kuna rafiki yake akampigia simu kuna kszi Zanzibar ya hotel sasa akawaambia Mama yake na Kaka zake. Sasa Kaka zake wakamkatalia na kumwambia Mama yao mdogo wao hasiende Zanzibar na akienda ataenda kufanya kazi za Bar mdogo wao akalazimisha mwisho wa siku kwenda Zanzibar kufika mwenyeji wake hakupatikana, Mwisho wa siku akafata ujauzito baada ya kufata kazi.Ukweli wewe bado ni mtoto unamada za kitoto sana
Una-mambo mengi ya kujifunza hakuna anayependa kuwa single mother
Uwe na mtoto alafu awe single mother huwezi andika huu ujinga
Mkuu Mimi mwenyewe Single father lakini nimekataa kuoa Single mother nilihisi kama nina mikosi maana kila nikitongoza nakutana na Single mother nakula nakimbia, ila sasa hivi nilie nae haja zaa huyo ndiyo naoa sasa, Yani kwa Ushauri Kijana siyo Jambo Zurich kuoa Single mother ukioa Single mother au kuingia nae kwenye Mahusiano hakuna raha ya Mapenzi yani huwezi kufurahia mahusiano, ni sawa Kununua gari mpya kabisa na Mwingine anunue gari mikononi kwa mtu unafikili ni nani atafurahia matumizi ya gari ?ila single fazaz waoe fresh ladies,,oke oke tumekupata studio