Mkuu kumzalisha Single mother ni sawa umemuoa kwasababu itakubidi ulee mtoto na kama ana jumla ya watoto watatu na wako ni mmoja hapo sawa una watoto watatu kwasababu itakua unawalea wote kimfumo, Maana ukituma pesa za Vifaa vya shule na Uniform lazima mwanao ata dhulumiwa tu mfano umetuma pesa annulled Uniform pea nne hata nunuliwa zote atanunuliwa pea moja na nyingine watapewa ndugu zake.Je kufanya single mother ni mpango kando yaani mchepuko wa kudumu, kumzalisha watoto nk ila ndoa hapana
Mkuu hivi kwanini Single mother wanakua na Asila sana tena walio zalishwa bila Kuolewa yani wanakua na chuki moyoni iliyojificha. Na tena hawataki kuwa wakweli tofauti na Single Mother walifiwa na Waume zao wao wanakua wawazi unajua kila kitu kuhusu maisha yake ya ndoaNi swala la muda tu. Alafu ni aibu mwanaume kujisifu kuoa single mother! yaani kama hivi definitely nimekudharau
Lakini lazima utampa ushauri na mara nyingi ukiona kijana anaoa Single mother na Wazazi wakamuacha ujue huyo kijana anashida sehemu labda umri umekwenda hajao na hawaoni dalili ya kuoa ndiyo maana akileta Mwanamke anataka kuoa Wazazi roho zinatulia na presha inashuka, unajua ki Afrika kijana umri ukienda na Wazazi hawaoni dalili ya kijana kuoa au kuwa na mchumba Wazazi wanakosa Amani. Kwahiyo kijana ukiwaletea yoyote tu awe na watoto watano wao hawana pingamizi ila kijana ana miaka 26 ampeleke mchumba mwenye watoto nyumbani kwa wazazi aseme anataka kuoa lazima atawekwa Kitano na kupewa maneno mazito.Kijana wangu ataoa mwanamke anayempenda, single mother or not, kwa hio Kijana wako akilleta single mother utamshoot?! Proof you are narcissistic bastard! Eti ukweli, upi huo? Idiot
Wana shida lukuki hao wako kwenye trauma.Mkuu hivi kwanini Single mother wanakua na Asila sana tena walio zalishwa bila Kuolewa yani wanakua na chuki moyoni iliyojificha. Na tena hawataki kuwa wakweli tofauti na Single Mother walifiwa na Waume zao wao wanakua wawazi unajua kila kitu kuhusu maisha yake ya ndoa
wakusaidia kudungua maembe ukifika msimu wakeππNakuzoom , wanaume waaminifu wa nini sasa?ππ
Wananichanganya kwamba huyu "singo maza" niachane naye,?πwakusaidia kudungua maembe ukifika msimu wakeππ