Naskia Raha Miieeeee....πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯° Utaaamu ☺️

Shida yako tu nikaliwe na Simba huko nife si ndivyo nikose mademu..?πŸ˜‚
Labda twende ziwa Viktoria tukachezee maji ya sangara tuwale,tukajianike kwenye mawe,tupande na vilima tukalale na Malaika beach..😁

Weee kweli Kiberenge Furushi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa unataka Simba wafe njaa....!!🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Ziwa victoria lina mamba wengi huogopi kuzama na kuliwa?

Kama hutaki pori la Seluo basi tafuta tour guide wa kututembeza Nshamba hadi Mtukura...
 
Sitaki kwenda maporini mimi..πŸ˜‚
Kaliwe wewe mimi bado nataka kulaπŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…