Naskia Raha Miieeeee....🥰🥰🥰 Utaaamu ☺️

Naskia Raha Miieeeee....🥰🥰🥰 Utaaamu ☺️

Shida yako tu nikaliwe na Simba huko nife si ndivyo nikose mademu..?😂
Labda twende ziwa Viktoria tukachezee maji ya sangara tuwale,tukajianike kwenye mawe,tupande na vilima tukalale na Malaika beach..😁

Weee kweli Kiberenge Furushi 😂😂😂😂

Sasa unataka Simba wafe njaa....!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ziwa victoria lina mamba wengi huogopi kuzama na kuliwa?

Kama hutaki pori la Seluo basi tafuta tour guide wa kututembeza Nshamba hadi Mtukura...
 
Sitaki kwenda maporini mimi..😂
Kaliwe wewe mimi bado nataka kula😋
 
Back
Top Bottom