DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Sipati picha,Yaaani wakati ukuta....
Ulivo na furaha bila Shaka Uko chini leo Ni ndembe ndembe...[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipati picha,Yaaani wakati ukuta....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shida ndo inaanzia hapo hakuna sasa[emoji134]Na kama unapo pa kuzimwaga hakuna Matata....[emoji12]
Mimi sina gundu, ushaona nalialia mapenzi humu🤣
Tumeambizana hutuoi mafeminist wanatuua mapemaNdo uwowee sasa, waschana wengi wako singo....
DuuuhWakulungwa....
Japo joto kali, jua linawaka ila tabasamu halikauki usoni.....
View attachment 2082327
Najua nimeshapokea mafao ya uzeeni ila hii furaha ya leo ni nje ya mafao....
Mahaba niache nipange mipango maisha mapya ya kustaafu mweeeh mweeeh mweeeeh......
View attachment 2082329
Nasinzia nikikuwaza ooohhh....
Kumbatoooo, kumbatoo ndo kulogwa kwangu hapo ....[emoji7][emoji7]
Kasinde Matata.
Shauri yako atakumwagia [emoji23][emoji23][emoji23] huyo au humjui [emoji4][emoji4][emoji4]Na kama unapo pa kuzimwaga hakuna Matata....[emoji12]
Hahaaaaa hainaga macho inaingia popote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Loooh
Kama ana uthubutu ya kunimwagia huku nimekumbatiwa na Mahabuba wangu basi anafaa kuingizwa Jeshi la Taifa.
Sahivi nimekuwa Toto Zuri..😊😁