Naskia Raha Miieeeee....🥰🥰🥰 Utaaamu ☺️

Naskia Raha Miieeeee....🥰🥰🥰 Utaaamu ☺️

Unauzwa, lipia walau kifurushi cha wiki ..!😂😂😂😂

Au na wewe ni furushi...?!🤣🤣🤣
Umeanza ukorofi Sasa hivi utakula mabanzi ya shingo sitajali Bibi kizee Kwanza nahasira hapa yani mtu nimemuomba namba kanichamba huyo ati Mimi ninasura kama embe ng'ong'o☹️
 
Umeanza ukorofi Sasa hivi utakula mabanzi ya shingo sitajali Bibi kizee Kwanza nahasira hapa yani mtu nimemuomba namba kanichamba huyo ati Mimi ninasura kama embe ng'ong'o☹️

Kenzy Mapezi Furushi bin Kiberenge 😂😂😂😂
 
Ngoja hako kavulana kakupukutishe hizo hela za mafao halafu uje na uzi wa kututaka ushauri hapa
 
Tuachane na hayo vipi lakini sili hiyo penisheni hata mia dia..?😁

Tafuta tour guide atutembeze pori la Selou
Huko utakula sehemu ya mafao ya bibi.
 
Wakulungwa....

Japo joto kali, jua linawaka ila tabasamu halikauki usoni.....

View attachment 2082327
Najua nimeshapokea mafao ya uzeeni ila hii furaha ya leo ni nje ya mafao....

Mahaba niache nipange mipango maisha mapya ya kustaafu mweeeh mweeeh mweeeeh......

View attachment 2082329


Nasinzia nikikuwaza ooohhh....



Kumbatoooo, kumbatoo ndo kulogwa kwangu hapo ....😍😍

Kasinde Matata.

Na siku mkivurugana Usiache Kuja Kutupa Habari 🥰🥰
 
Tafuta tour guide atutembeze pori la Selou
Huko utakula sehemu ya mafao ya bibi.
Shida yako tu nikaliwe na Simba huko nife si ndivyo nikose mademu..?😂
Labda twende ziwa Viktoria tukachezee maji ya sangara tuwale,tukajianike kwenye mawe,tupande na vilima tukalale na Malaika beach..😁
 
Back
Top Bottom