KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Ushakaa kwenye list acha fujo jifunze kuishi na watu bila vurugu..😂Mimi sina gundu, ushaona nalialia mapenzi humu🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushakaa kwenye list acha fujo jifunze kuishi na watu bila vurugu..😂Mimi sina gundu, ushaona nalialia mapenzi humu🤣
Naomba utulivu Janani..😅Kibeeeee 😆😆
Umeanza ukorofi Sasa hivi utakula mabanzi ya shingo sitajali Bibi kizee Kwanza nahasira hapa yani mtu nimemuomba namba kanichamba huyo ati Mimi ninasura kama embe ng'ong'o☹️Unauzwa, lipia walau kifurushi cha wiki ..!😂😂😂😂
Au na wewe ni furushi...?!🤣🤣🤣
Tuachane na hayo vipi lakini sili hiyo penisheni hata mia dia..?😁Kenzy Mapezi Furushi bin Kiberenge 😂😂😂😂
Nakuona Katika Peak Na Kila Kukicha Ndio Unazidi Kupasua Anga.Nimeitika...
Rabekaa.... [emoji12]
Wakoraa iwe kasigazi..Waituuu Ta Mjuni....
Wakulungwa....
Japo joto kali, jua linawaka ila tabasamu halikauki usoni.....
View attachment 2082327
Najua nimeshapokea mafao ya uzeeni ila hii furaha ya leo ni nje ya mafao....
Mahaba niache nipange mipango maisha mapya ya kustaafu mweeeh mweeeh mweeeeh......
View attachment 2082329
Nasinzia nikikuwaza ooohhh....
Kumbatoooo, kumbatoo ndo kulogwa kwangu hapo ....😍😍
Kasinde Matata.
Shida yako tu nikaliwe na Simba huko nife si ndivyo nikose mademu..?😂Tafuta tour guide atutembeze pori la Selou
Huko utakula sehemu ya mafao ya bibi.