Moja ya module rahisi mno kwa ngazi ya elimu ya juu... ila mnafanya mchezo mchezo tu huko, muwe mnafikiri na mlikotoka na mjitathmini mnaelekea wapi maishani mwenu enyi vijana mliopo vyuoni. Kazi fashion, ujuaji, kunyoa minyoo ya kipumbavu, club, simu nzuri, movie, laptop kali na kupenda ngono tu!...
Inamaana huna group discussion chuoni?! Huna marafiki au Course-mate?! Haya hata groups hakuna uulize?! Hao wakufunzi wana kazi gani?!
Kama ni kijana wa kiume AMKA! JITATHMINI! JITAMBUE! MAISHA SIO LELE MAMA... NA HILO NI SOMO RAHISI SANA! TULIZA AKILI.
Ahsante!