Nasoma Business law, simuelewi vizuri mwalimu naomba nisaidiwe baadhi ya maswali

Nasoma Business law, simuelewi vizuri mwalimu naomba nisaidiwe baadhi ya maswali

Hii bundle umeingia nayo si ungetumia kugoogle tu na majibu ungepata kirahisi, mbna umetumia njia ndefu sana kutafuta majibu yako ??
 
Haelewi consideration kwenye business law ujinga mtupu aache kusoma

Elimu sio ya kila mtu kwa ujinga alionao sidhani mtu yeyote serios awe kadomq certificate, au dipoloma au degree atajua kuwa huyo hayuko right place kavamia darasa

Atafute shughuli nyingine za kufanya masomo kwake ni ngozi ya tembo

Kabisa binafsi nahurumia wazazi wake kiumbe waliyemzaa sio wa kuhangaika naye kumsomesha wamwache tu akiwa mpiga debe sawa aikiwa muokota machupa majalalani akauze sawa lakini kwa shule no please wasipoteze pesa zao

Hamna kitu kichwani huyo

Shule huhitaji wenye kitu kichwani

Huyo hana
Damn[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada kaingia cha kike

Hayo makombora huko juu yanalenga pale pale kwenye mshono[emoji23]

Akikaa hivi nchale, akigeuka nchale
Nahis hapo ashachukia kuanzia somo, JF na chuo kwa ujumla[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari?
Law sio field yangu lakini kwenye kozi yangu nasoma Business law.
Kuna vitu nahitaji kuvijua vizuri/zaidi kuhusu law of contract, pia naomba atakae amua kunielewesha atoe mifano nadhani ndiyo nitaelewa vizuri.

1: Kuhusu cinsideration
-Consideration ni nini? mfano wake ni upi?
- promise ina utofauti gani na offer?
-Aina tatu za consideration zinakuaje
Past, Excuted na excutory?.

-Na kumove consideration ni kufanya nini?
-Na nani anaweza move consideration?

-Pia sifa za consideration ni zipi?

-Adequate ina maana gani kwenye consideration na Sufficient ina maana gani?

2. Kuhusu Free assent.
Kipengele cha mistake
Mistake inakuaje na je, katika hali zipi mistake inaweza pelekea agreement kuwa void na katika hali zipi inaweza pelekea agreement kuwa valid?

3: Kuhusu intention to create legal relations
Katika hali zipi domestic agreement zinaweza kuwa na lega effects?

Natanguliza shukrani.

Kuna vitabu vingi sana kwenye mitandao. Kama mewe ni mwanafunzi achana na hii mitandao tumia muda zaidi kusoma kuna vitabu vya bure online!
 
Ushog* hauwezi kuisha kwa style hii [emoji848]
 
Kuna vitabu vingi sana kwenye mitandao. Kama mewe ni mwanafunzi achana na hii mitandao tumia muda zaidi kusoma kuna vitabu vya bure online!
Uwe makini na vitabu vya mitandaoni vingine vimepitwa na wakati

Mfano shule nyingi zinazoongoza kitaifa sekondari hasa za katoliki hukataza kabisa mwanafunzi kwenda kusoma tuition za mitaani likizo wanajiamini elimu waliyowapa hawataki kabisa mtoto asome Tuition yeyote likizo sababu hujiamini ufundishaji na kuwa wako current ki syllabus nk hawataki watoto wajaze mchanganyiko kichwani

Tuition mwalimu aweza kuwa hata form form failure anaokota vitu Internet vilivyopitwa na wakati na kuwapa wanafunzi mtihani wa taifa ukija wanafeli

Internet sio mbadala wa Mwalimu au lecture hata siku moja
 
Moja ya module rahisi mno kwa ngazi ya elimu ya juu... ila mnafanya mchezo mchezo tu huko, muwe mnafikiri na mlikotoka na mjitathmini mnaelekea wapi maishani mwenu enyi vijana mliopo vyuoni. Kazi fashion, ujuaji, kunyoa minyoo ya kipumbavu, club, simu nzuri, movie, laptop kali na kupenda ngono tu!...

Inamaana huna group discussion chuoni?! Huna marafiki au Course-mate?! Haya hata groups hakuna uulize?! Hao wakufunzi wana kazi gani?!

Kama ni kijana wa kiume AMKA! JITATHMINI! JITAMBUE! MAISHA SIO LELE MAMA... NA HILO NI SOMO RAHISI SANA! TULIZA AKILI.

Ahsante!
Dogo anataka tumfanyie individual assignment yake kizembe tu
 
Am Single Again - Harmonize

images (6).jpg
 
Mimi sijawah kusoma Law ila hiyo course ya Business Law nilifaulu kwa B+ tena hapo nilikua sihudhurii vipindi nipo bize na maisha familia na kutafuta pesa, nilijisomea pekeangu kwa ku Google... Wewe inaonekana kijana mdogo sana ila huwezi kujiongeza hata ku Google..? YouTube? Group Discussion...?
Vijana wa sikuhiz mpo chuo na hamjui mnachokitaka na mnachokisomea...
 
Back
Top Bottom