T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Usinifanye kunijua maana hunijui ila mimi nakujua. Na SUA yenyewe sijawahi hata kufika endelea kubahatishaWe kwanza upo chuo mwaka wa tatu SUA sasa sijui utamsaidiaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinifanye kunijua maana hunijui ila mimi nakujua. Na SUA yenyewe sijawahi hata kufika endelea kubahatishaWe kwanza upo chuo mwaka wa tatu SUA sasa sijui utamsaidiaje
Usijibizane na Wahaya... hao watu ni washamba sana! Sijawahi kuona 😏Usinifanye kunijua maana hunijui ila mimi nakujua. Na SUA yenyewe sijawahi hata kufika endelea kubahatisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwaiyo hapa situmii internet, au huu uzi nilio anzisha sio moja ya njia ya kusearch ninacho kihitaji? unafikiri utadhani kichwa ni kifuniko cha mwili tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaaahHapa alipofikia ni moja ya ubunifu akijua kabisa jf kuna wasomi kibao kama jambo hajaelewa darasani akiemda google bado atakutana na maelezo mabayo hataelewa kirahisi ila akifafanuliwa vizuri humu ataelewa tu. Muda mwingine tusijipe sana umuhimu wa kiropoka nenda google wakati ww mwenyewe hujui kutumia google ili upate unachotaka. Bado mimi naona janja yupo sahihi sana kuja kuuliza humu tatizo wanaojibu hawajawahi hata nusa chuo sio wao tu hata familia zao kusoma ni mtihani
Wee babuuu hebu taratibuu baas, khaaahNaungana nawe mkuu.
Huyu mwanafunzi ama ni mzembe au ni kilaza wa kutupwa! Na labda haya ndiyo matunda ya elimu yetu mbovu.
Library hakuna vitabu? Mitandaoni hakuna vitabu? Google haipo? YouTube je?
Anauliza vitu basic sana ambavyo hata kwenye notice zake tu vimo. Labda kama huyo mwalimu hafundishi cho chote kabisa kabisa!
Na ndicho kizazi chetu hiki kilichopo hiki. Kila kitu kutafuniwa. Maisha ni mteremko tu. Ni kuvaa mitepesho na kukesha mitandaoni. Si boom lipo?
Profesa mmoja kutoka Marekani alikuja kufundisha hapa. Alionywa kwamba asiwe frustrated na wanafunzi wetu na asitegemee kuwa watakuwa na caliber sawa na wa US kwa kujisomea na hata kushiriki darasani na uwezo wa jumla. Alishangaa sana akauliza kwa kejeli: Ina maana wanafunzi wa ngazi ya chuo kikuu hawajisomei? Hawana critical thinking?...na matokeo yake ndo haya sasa.
Halafu eti tunategemea ndiyo hawa waende wakapambane katika soko la ajira katika ngazi ya kimataifa. Eti hawa ndiyo wakapambane na Wakenya na Wanaijeria...
Puliiiizi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ma lecturer wa Bongo ndo walivyooo.Muacheni mtoto wa watu na hivi hatujuani unaweza kuta hata ni ndugu yako kama sio mwanao. Yeye amejikita kwenye mambo ya biashara hayo masheria yamemchanga akili. Wewe hujawahi soma kitu hata ukaenda google huelewi ukabaki kuhaha. Kaona akija huku wanasheria watamsaidia kwa lugha nyepesi aelewe.
Nakumbuka na mimi nilisoma business law mwalimu anaingia na kitambi chake na simu tu. Hatoi notes wala nini ni story tu. Akimaliza anaaga anaondoka mnabaki kutoa macho.
Lete maswali usaidiwe mjukuu. Ila yawe maswali kweli isije ikawa "eti wakuu, the first law of thermodynamics inasemaje wakuu?"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaaah
Nilete JF nifurushweeee?? badalaa ya kujibiwa maswali watu watarukaa na mie mzima mzimaa.Lete maswali usaidiwe mjukuu. Ila yawe maswali kweli isije ikawa "eti wakuu, the first law of thermodynamics inasemaje wakuu?"
Ukiuliza maswali ya aina hiyo tutakuwasha tu maana hakuna namna! [emoji16][emoji16][emoji16]
Haelewi consideration kwenye business law ujinga mtupu aache kusomaJF imejaa watu wapumbavu now days kijana badala mumpatie maelezo mnaanza kumjibu shit
Tumieni Akili katika kujibu watu mnajikuta mmemaliza Maisha kumbe washamba tu
Kijana yupo sahihi kuuliza swali lake hapa Mimi sijasoma business Law lakin ningekuwa najua ningempa maelezo yakutosha then huko chuoni na JF forum wapi Kuna Great thinkers?
In business law, consideration refers to something of value that is given by one party to another as a part of a legally binding contract. Consideration can be in the form of money, goods, services, promises, or anything else that has a measurable value.Habari?
Law sio field yangu lakini kwenye kozi yangu nasoma Business law.
Kuna vitu nahitaji kuvijua vizuri/zaidi kuhusu law of contract, pia naomba atakae amua kunielewesha atoe mifano nadhani ndiyo nitaelewa vizuri.
1: Kuhusu cinsideration
-Consideration ni nini? mfano wake ni upi?
- promise ina utofauti gani na offer?
-Aina tatu za consideration zinakuaje
Past, Excuted na excutory?.
-Na kumove consideration ni kufanya nini?
-Na nani anaweza move consideration?
-Pia sifa za consideration ni zipi?
-Adequate ina maana gani kwenye consideration na Sufficient ina maana gani?
2. Kuhusu Free assent.
Kipengele cha mistake
Mistake inakuaje na je, katika hali zipi mistake inaweza pelekea agreement kuwa void na katika hali zipi inaweza pelekea agreement kuwa valid?
3: Kuhusu intention to create legal relations
Katika hali zipi domestic agreement zinaweza kuwa na lega effects?
Natanguliza shukrani.
Wanatia aibu, kuna mmoja aliwai uliza swali zima hapa Nikamwambia ingia google books utapata majibu, akabisha.. nikasearch nikamwambia nimepata jibu akasema atalipa 10K nikimpa jibu.. imagine mwanafunz huyu alivyo mvivu..Sawa Mrs Van lakini najua ninachokisema. Mimi ni mkereketwa wa mambo ya elimu na nina angalau fununu ya mifumo mbalimbali ya elimu huko Ulaya, Marekani, Asia na hata hapa Afrika. Nimeshafanya kazi kwenye mashirika yanayojihusisha na elimu katika nchi za Kiafrika ikiwemo Tanzania. Kuna wakati inafika unatamani ujifiche ili kukwepa aibu inapofika wakati, kwa mfano, usaili wa mwanafunzi wa Kitanzania kupatiwa scholarship. Yaani vijana wetu wako shallow ajabu na huwezi kuwalinganisha na Wakenya, Waganda na wengineo. Kwa nini wa kwetu tu ndiyo wawe hivi?
Mwanzoni nilidhani pengine ni ishu ya Kiingereza lakini baadaye niligundua kuwa ni mfumo wetu wa elimu kwa ujumla wake. Wanafunzi wetu hawatafuti maarifa. Ni kukariri kariri tu na kukopi kopi hapa na pale wanafaulu mitihani yao basi. Na mfumo wetu unaendekeza hii tabia.
Huyu amenishangaza kwa sababu mambo anayouliza ni basic sana na yapo tu mtandaoni one click away. Angekuwa anauliza mambo serious angalau...lakini pengine ni kwa vile siyo uwanja wake...
Mrs Van. Hebu rudi tena ukaangalie maswali anayouliza. Hebu jipe muda wa masaa mawili tu uzame mtandaoni kutafuta majibu. Au nenda library hapo chuoni na mitandaoni kutafuta vitabu husika. Kweli huwezi kujibu hayo maswali basic? 😳😳😳
In business law, an offer and a promise are two different concepts that are important in the formation of a contract.Habari?
Law sio field yangu lakini kwenye kozi yangu nasoma Business law.
Kuna vitu nahitaji kuvijua vizuri/zaidi kuhusu law of contract, pia naomba atakae amua kunielewesha atoe mifano nadhani ndiyo nitaelewa vizuri.
1: Kuhusu cinsideration
-Consideration ni nini? mfano wake ni upi?
- promise ina utofauti gani na offer?
-Aina tatu za consideration zinakuaje
Past, Excuted na excutory?.
-Na kumove consideration ni kufanya nini?
-Na nani anaweza move consideration?
-Pia sifa za consideration ni zipi?
-Adequate ina maana gani kwenye consideration na Sufficient ina maana gani?
2. Kuhusu Free assent.
Kipengele cha mistake
Mistake inakuaje na je, katika hali zipi mistake inaweza pelekea agreement kuwa void na katika hali zipi inaweza pelekea agreement kuwa valid?
3: Kuhusu intention to create legal relations
Katika hali zipi domestic agreement zinaweza kuwa na lega effects?
Natanguliza shukrani.
Usije ukanipopoa na mimi mkuu,nimeona dongo lako huko juu mhh hatari sana[emoji28]Na ndo imekuja kupumbaza kabisa vijana wetu! Soon tutaifunga kwenye mipaka ya TZ [emoji4]
"Moving consideration" is a term used in business law to describe the act of exchanging something of value between parties in order to create a legally binding contract. Consideration is said to "move" when it is given by one party in exchange for the promises or actions of the other party.Habari?
Law sio field yangu lakini kwenye kozi yangu nasoma Business law.
Kuna vitu nahitaji kuvijua vizuri/zaidi kuhusu law of contract, pia naomba atakae amua kunielewesha atoe mifano nadhani ndiyo nitaelewa vizuri.
1: Kuhusu cinsideration
-Consideration ni nini? mfano wake ni upi?
- promise ina utofauti gani na offer?
-Aina tatu za consideration zinakuaje
Past, Excuted na excutory?.
-Na kumove consideration ni kufanya nini?
-Na nani anaweza move consideration?
-Pia sifa za consideration ni zipi?
-Adequate ina maana gani kwenye consideration na Sufficient ina maana gani?
2. Kuhusu Free assent.
Kipengele cha mistake
Mistake inakuaje na je, katika hali zipi mistake inaweza pelekea agreement kuwa void na katika hali zipi inaweza pelekea agreement kuwa valid?
3: Kuhusu intention to create legal relations
Katika hali zipi domestic agreement zinaweza kuwa na lega effects?
Natanguliza shukrani.
Business law ni ya fani zote usome udaktari,engineering, management, marketing, law,Accountancy, nk wote wanasoma business law sababu waweza kuwa sued kama doctor kwa kutoa huduma mbovu iliyoathiri mgonjwa baada ya kupokea pesa yake,Engineer kwa kuzalisha product mbovu au product mbovu, au marketing ku ku.market product mbovu au ya kitapeli,Accountant kwa poor services kwa mteja kama book keeper au Accountant au auditor nkInaweza kana ulisoma accounting and finance
In business law, the term "adequate consideration" refers to the requirement that the consideration exchanged between parties in a contract must have a reasonable level of value or benefit. Adequate consideration is necessary to ensure that a contract is legally enforceable.Habari?