Nasoma Business law, simuelewi vizuri mwalimu naomba nisaidiwe baadhi ya maswali

wewe ni mwaka wa kwanza? kama unashindwa maswali haya ya contract law, basi hukutakiwa kusoma sheria, utakuwa umevamia. mwangalie nditi huyu nimekuattachia.
 

Attachments

Huenda akawa anajua sema anataka kupima watu, au huenda ajui pia, ILA kweli chuo marafiki wote, magroup hujaelewa uje kuuliza JF daaahπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ulimuuliza mwalimu wako after class kuwa humuelewi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…